Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Right? That's why Kenyans don't even bother opening up accounts. They laugh from behind the scenes. Funny thing is how these Tanzanians don't seem to get just how embarrassing they are to themselves. They go on and on.. and they think they are doing themselves justice

You dont need Netflix, Hulu or DSTV subscriptions when you can have free comedy right here
we beat them hands down on any meaningful parameters....hata bus za Brt tunawatengenezea tu hapa hapa kenya..lol.
Tanzania bado kwetu sanaa......tuna problems hatukatai but an ldc country like tanzania hawawezi tuambia chochote......wajitoe huko kwanza then tutawaskiza kidogo
 
Naona unatafuta kiki kupitia mimi siyo?
Haya sasa. Kila kona tunawabana sijui mtatokea wapi?😀😀😀
maxresdefault.jpg

Cello1.gif

Wewe una Iq kama ya kuku aise😂😂😂😂bora hizi pia ugeenda ukaposti nairaland pamoja na juicy za azam😂😂😂aibu tupu we jibaba lizee lishamba😂😂😂
 
kwa hiyo nyie pekee ndiyo mnagain......?..
Huko somalia hapatuhusu huko ni haki yenu kupalinda kila nchi lazima isimamie mipaka yake ,,,na hakuna hatujawahi kuonbwa kutoa msaada huko hata siku moja,,,wakenya mmelala inabidi jeshi lenu lichangamshwe kidogo ili siku nyingine msiwe mnaiba juice kwenye harakati za ulinzi wa taifa
HAHAHAHAHAHAHAH KENYA DRINKING FORCE, KDF WAKIPITA WATOTO WANAFICHA MAJI NA JUICE ZAO WASIJE WAKAPORWA NA KDF
 
Tanzania liko na jeshi gani?? What mission has it ever accomplished?? acha tuone....KDF vs Tzarmy

1. Liberating Mogadishu✓-KDF
1. ?????????????- Tzarmy.

2. Liberating the Indian ocean from piracy✓- KDF
2. show ground - Tzarmy

3. Conquered Kismayu ✓-KDF
3. ??¿????¿¿- Tzwanamgambo.

Tz army nikama GSU ya kenya they have no mission, their mission is to worship Magufuli & Calm down strikes za watoto wa shule Hamuwezani vita, nyinyi ni Bure Kabisa #Cowards! acheni udaku fikeni somalia kama kweli nyinyi ni wanaume tuone View attachment 832030View attachment 832031
NAMWONA KIJANA WA KDF KAPAKATWA!
 
haha failed state in brackets...done by an online firm....not any UN body....a fool is a fool
Acha kuwa mjinga wewe, soma wenzako hao wakenya wamefanya deep analysis ya vigezo vilivyotumika kuifanya Kenya iwe failed state na wamekubali kwamba Kenya inavigezo vote vya kuwa failed State, wewe endelea kujificha nyuma ya kivuli chako lakini dunia nzima inajua hivyo.
 
World Bank and IMF confirmed that you are LDC and listed on HIPC....
 
World Bank and IMF confirmed that you are LDC and listed on HIPC....
Onyesha lini na nchi gani iliyotangazwa iliyotangazwa na IMF au WB, hiyo sio kazi ya hizo Organizations. Kenya is a trible country, je unakataa hadi WB na IMF watangaze hilo?. Acha kukimbia ukweli, Kenya is a failed state.
 
tanzania ni LDC na pia ni Hipc ...seems hauelewi English
 
Kumbe ndio kisa cha huu UJINGA, USHAMBA, UTOTO na USHENZI

Hawa watu wako na STRESS
IMG_20180813_083638.jpg
 
Ningependa sana ata sisi waKenya tuache kua the "nice guys" na tufunge mpaka yetu na hawa watu wa wivu, bidhaa zao pia wabaki nazo kwao. Yaani hawa watu BALAAA. Wanafikiria hivi ndivyo watakavyotupita kiuchumi. CHRIST!

ETHIOPIA wanafungua nchi yao kule kaskazini. Hawa ndio watu tunataka kufanya nao biashara.

F.UCK THE EAST AFRICAN COMMUNITY (except for Uganda)

Huu ni UJINGA, WIVU na typical PRIMITIVITY
IMG_20180813_084140_342.jpg
 
Ningependa sana ata sisi waKenya tuache kua the "nice guys" na tufunge mpaka yetu na hawa watu wa wivu, bidhaa zao pia wabaki nazo kwao. Yaani hawa watu BALAAA. Wanafikiria hivi ndivyo watakavyotupita kiuchumi. CHRIST!

ETHIOPIA wanafungua nchi yao kule kaskazini. Hawa ndio watu tunataka kufanya nao biashara.

F.UCK THE EAST AFRICAN COMMUNITY (except for Uganda)

Huu ni UJINGA, WIVU na typical PRIMITIVITYView attachment 834270
hahahh tumewabana kila sector hamupumui😂😂😂😂😂😂 magu chuma
 
Back
Top Bottom