Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,951
- Thread starter
- #108,781
Sasa ni muda mwafaka wa kumeza wembe.Leo tumeona ushamba wa annael...jamaa amepost mabus zote za tz...ni kama kenya tunatumia baiskeli...ushamba ni mbaya...
Kumbe na nyie mnatumia buses. Si mwenzako alikataa. Subiri doze iingie kwanza.