Nyinyi hizo towers hakuna mtu/biashara



huo ndio ujinga uliobakia nao yani zijengwe alaf zikae empty😂😂👆👆👆👆Nyinyi hizo towers hakuna mtu/biashara
Less than 20% occupancy rates
Ukweli ni chungu sana, ndugu. Hizo towers occupancy rates zenu huwezi compare na za NBO.huo ndio ujinga uliobakia nao yani zijengwe alaf zikae empty![]()
Manze. Nairobi saiziIko poa na this rainy weather...planned
yani akili yako ww ni kua tumejenga tu alaf zinakaa tupu 😂😂😂Ukweli ni chungu sana, ndugu. Hizo towers occupancy rates zenu huwezi compare na za NBO.
NBO occupancy rate ni 78%
Nyinyi sidhani mmefikisha hata 30%
HAPA FACTS TUU. Ugua pole, ila presha isikupande pia
Wewe ni mwehu tu huwezi elewa dynamics za construction. UJINGA utakua kisa cha kifo chako.yani akili yako ww ni kua tumejenga tu alaf zinakaa tupu![]()
we akili yako ulitegemea kua tunajenga giants buildings for nothing au😂😂😂😂Wewe ni mwehu tu huwezi elewa dynamics za construction. UJINGA utakua kisa cha kifo chako.
Seek help!
jihadhari,uko karibu kusema hakuna watu dar kabisa,una wehuka wewe.Wewe ni mwehu tu huwezi elewa dynamics za construction. UJINGA utakua kisa cha kifo chako.
Seek help!
Huyo ngedere anord huwa anajichekeshachekesha tukinachonishangaza ile budget mliotangaza kumbe ilikua ni hewa![]()