Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha kukalili
nahii sio Dar
ongea lingine
cc54cd74cb511ac5834f22961550c013.jpg
cfa0fe042883f172c25a3358e18a0800.jpg
sema ni wapi na ufungulie thread yake...kama ni mwanza tuipeleke na mombasa..acha uoga
 
70% ya wasee wenu huishi kwa slums...ata kwa mangoma zenu video huonyesha..ie utanipenda,kwetu rayvanny
Hahaha pole sana
Bongo hakuna slum
Slum zipo Kenya
Nyumba za Mabati na matope Hauwezi kuziona Dar never

Video inaonyesha kabisa Tofali za Brock
 
Wameniharibia hawataki niendelee walipost zao sisi tulitulia kimya tumeanza zetu kelele ila sio poa mlivofaya hahhahahahhahaah
kaka wewe fanya unachojisikia kufanya mradi huvunji sheria za jf.usiwafatishe wao,wao ndio inabidi wakufate wewe.

si umeona Mimi ninavo wachezesha kwata,wanacheza mziki ninao chagua Mimi,wanajaribu kujikaza kisabuni ila ukweli ni kwamba screenshot zangu zinawauma mno mioyoni maana na expose the other bad side of Nairobi which they wouldn't want others to know.
 
Morocco square ni 22, 20, 9, 3floors. kaa mbali na Nairobi. semeni mupewe mji wa Nakuru ndio mutatoana kijasho
Which Nairobi dude?
2.5 nairobi residents live in Kibera, the remaining 900k live in The rest of town including other slums like kariobangi, huruma, mathare and some modern pats of your town.
 
Kule TalkKenya sijui whatever you call it post ina miaka miezi sita ina viewers 20
Kuna mpuuzi mmoja kule JamiiForums.com
akanijia juu eti niondoke kwenye Forum yao!!
Nika mwbia hiki kiforums uchwara huwa napita kucheki leo Ukabila wenu unahusu nini!!
Kutwa ukabila
kiforum kimelala kama kimepigwa kaputi!!
Nikienda wazua ndio yaleyale
 
jamaa wameanza kuruka sijui mara world ,mara kawe city na walikua wanaesabu ongoing skyscrapers above 20 zenye zinajengwa.....wameishiwa
Eh. unaona jengo zuri, kumbe ni mansion ya mtu vittu 9, 3,, floors ati Morogoro Square. What the hell
FB_IMG_14862428438919336.jpg
 
jamaa wameanza kuruka sijui mara world ,mara kawe city na walikua wanaesabu ongoing skyscrapers above 20 zenye zinajengwa.....wameishiwa
Nimekwambia tulieni niendelee mbona waoga sana nyie hahahaahhahahah dahhhhh mwaka mbaya huuuuu
 
Nimekwambia tulieni niendelee mbona waoga sana nyie hahahaahhahahah dahhhhh mwaka mbaya huuuuu
tutakuruhusu uendelee ukituhesabia izo ongoing projects above 20 floors umeeka apa.tuambie ni ngapi....hazifiki ata kumi
 
super power is bigger and powerful than kenya police and kdf.shame

slums are not safe .

0a82fbfabf49c96bfbf15bd84d5814c5.jpg
 
Back
Top Bottom