Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna mpuuzi mmoja kule JamiiForums.com
akanijia juu eti niondoke kwenye Forum yao!!
Nika mwbia hiki kiforums uchwara huwa napita kucheki leo Ukabila wenu unahusu nini!!
Kutwa ukabila
kiforum kimelala kama kimepigwa kaputi!!
Nikienda wazua ndio yaleyale
Nina account kule, sionagi cha maana, majamaa yanajadili ukabila Massa yote. Useless Kunyans.
 
super power is bigger and powerful than kenya police and kdf.shame

slums are not safe .

0a82fbfabf49c96bfbf15bd84d5814c5.jpg
leo ni aibu ya kufa mtu apa
 
Nimekwambia tulieni niendelee mbona waoga sana nyie hahahaahhahahah dahhhhh mwaka mbaya huuuuu
we umeanza kuboesha sasa. Kambalanick amekunyorosha mpaka basi. unalialia tu ati "tulia tulia". kaa vizuri upate a taste of your own medicine na uwache kutapatapa
 
Anzisha thread mbona we muoga Nimekwambia Mombasa ntakupa mwanza alaf kisumu utachagua mwengine nikupe ipi kati ya zanzibar.tanga.arusha au mbeya hahhahaahhaha
mwanza yenye haina ata building moja above 20....
 
Kuna mpuuzi mmoja kule JamiiForums.com
akanijia juu eti niondoke kwenye Forum yao!!
Nika mwbia hiki kiforums uchwara huwa napita kucheki leo Ukabila wenu unahusu nini!!
Kutwa ukabila
kiforum kimelala kama kimepigwa kaputi!!
Nikienda wazua ndio yaleyale
hahahahaha... we mtu unadharau sana aisee..dah..eti kiforum.
 
Poor Tanzanians. wengi wako Mombasa ni wasaidizi wa mechanic (watu wa mkono) na wanawake wao ni wakupika chakula kwenye hoteli ndogondogo na ukahaba
 
Unaogopa enhhh au huamini hahhahahhahahhahahahahha leo munanifurahisha sana hahhahahhahahhahahahahha bongooòooo hatari
hahaaa....leo hutoki humu.nmekwambia tumekushika pabaya.20 floors ziko wapi apo.mmetaka wenyewe above 20 ongoing,hamkujua mnajipalia makaa?
 
kwanza tuambie jina tucomfirm wenyewe...naona umeanza kucook data apa.ati 20 floors..ata mtoto wachekechea anajua kuhesabu
Nimekuuliza huamini au hahahahahah umeona rahaaa mm sibishani na wewe Google unayo choma ndani hehehehheh
 
Back
Top Bottom