Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

5 million/50 million use internet in tz only 10%
37.7m/46million Kenyans use internet..90%.
Even trending topics in tz are from Kenya
Poor nation....poor tz...poorer than unstable south sudan...check GDP per capita
Hio link ya mwaka gani nikuletee ya 2017 au
 
We boya nyamaza Hamna kitu unachojua unapayuka tu kama zuzu,the valid ni 22,20,17,14.
unamishe za kifala sana ww

We boya nyamaza Hamna kitu unachojua unapayuka tu kama zuzu,the valid ni 22,20,2
sasa 22floors ni takataka gani? unganisha 22 mara tatu na bado haufiki Hass Towers. Kichwa maji. munahitaji kuwa colonised na waKenya ndio muweze kuendelea.
 
Ati moshi iyo pia ni tao
Tatizo wewe jamii forum huna ata week ndio umeingiza pua, kwanza tangu upigwe ban naona umeacha maujinga yko...sasa bila kupoteza muda ntakyonyesha arusha then moshi ,japo wewe Ni msumbufu lakini ntakuvumilia tu....ukishaonyeshwa ulete hoja uchwara nyingine maana huishi vihoja. ..ngoja niingie store nikushushie zaga...kama kiswahili hujui shauri yako
 
nani kavuruga kama sio wewe unaleta vitu visivyoeleweka.sasa iyo mara world ndio nni?
Ndio nini Google uone ndio nini hehehehhehehe unauliza jibu wakat unalo hahahhahahhahahahahah waambie wakenya watulie niendelee hehheheheheh
 
ondoa Tpa na Pspf, Mombasa inawatandika kwa kila sector. sasa munalia nini?
 
mbona hamueleweki tena ...i thought mnataka skyscrapers zenye ziko under construction above twenty floors saa ii naona majanga apa...hahaa,mmeishiwa vipi
Waambie wakenya watulie nishushe nondo hapa hehehehhehehe maana munavuruga tu wengine matusi
 
Ndio nini Google uone ndio nini hehehehhehehe unauliza jibu wakat unalo hahahhahahhahahahahah waambie wakenya watulie niendelee hehheheheheh
naona umeishiwa sasa.....ulianza vizuri na buildings ukisema floors zake saa ii umepotea...kajipange uje tena ndugu.
 
Tatizo wewe jamii forum huna ata week ndio umeingiza pua, kwanza tangu upigwe ban naona umeacha maujinga yko...sasa bila kupoteza muda ntakyonyesha arusha then moshi ,japo wewe Ni msumbufu lakini ntakuvumilia tu....ukishaonyeshwa ulete hoja uchwara nyingine maana huishi vihoja. ..ngoja niingie store nikushushie zaga...kama kiswahili hujui shauri yako
tangu nilipomchapa bakora la makalioni last few days,amekuwa na adabu sasa.
 
ondoa Tpa na Pspf, Mombasa inawatandika kwa kila sector. sasa munalia nini?
Sio ondoa nimekwambia ingiza Mombasa na kisumu humu ndani mm ndio nimewaruhusu ingiza alaf tWende kazi mbona munakua waoga sana hahahhahahahhahahahh
 
ondoa Tpa na Pspf, Mombasa inawatandika kwa kila sector. sasa munalia nini?
jamaa wameanza kuruka sijui mara world ,mara kawe city na walikua wanaesabu ongoing skyscrapers above 20 zenye zinajengwa.....wameishiwa
 
Tuma picha...
Dodoma Tz
IMG_20160916_120745.jpg
graduation1.jpg
images-19.jpeg
 
Wewe unaonyesha ni mshamba wakutupwa
Na inawezekana unaishi kijijini!!
Hujitambui
Kila Taifa linafanya yake

Hii ni Kampala
7c5a61ddecae971dbc6f3232670082af.jpg

Afrika nzima!!
Haya leta hiyo takataka hapa

13f513fac3927ea8e33506f8673e697f.jpg
hauelewi Kiswahili. soma nilichokiandika alafu urudi unijibu
 
Back
Top Bottom