ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kaulize ngapi hio jinga wewe 22 hapo kuna 20 kuna 20 kuna 17 na 14ondoa izi vitu za 20floors apa. wachanga kujiaibisha
Kaulize ngapi hio jinga wewe 22 hapo kuna 20 kuna 20 kuna 17 na 14ondoa izi vitu za 20floors apa. wachanga kujiaibisha
Wivu upiHii ni msee anainvest si government... Nyinyi MNA uwivu sana
Njee ya dar sidhani kuna town iko na 10 floors tanzaniaKaulize ngapi hio jinga wewe 22 hapo kuna 20 kuna 20 kuna 17 na 14
mutajenga vipi ilhali muko top 25 most poorest in the world. nyinyi zenu ni "tuta"Subiri nikuletee cost yake naona unaongea sana
View attachment 493305
Wivu mtupu huo..ndio maana mko down.Wivu upi
huyo si mkenya!!
Lazima kuna wakenya wameingiza wizi wizi
maana kati ya 10 Nane wezi
bahahaha. kumbuka capital city ni Dodoma lakini inakaa Kisii TownNjee ya dar sidhani kuna town iko na 10 floors tanzania
Hio hesabu ya 90s baba Leo 2017 usishtuke sana hahhahahhahahhahahahahha unbelievable yearmutajenga vipi ilhali muko top 25 most poorest in the world. nyinyi zenu ni "tuta"
na "huu mwaka"
Kisii ni kubwa...inakaa karatinabahahaha. kumbuka capital city ni Dodoma lakini inakaa Kisii Town
Hiyo Konza haijaishaga tu? miaka mingi kweli mnapigia mayowekubali kwa ongoing projects hamtuoni...apa ata sijagusia two rivers phase two,sijeka tatu city,konza,
Twende kisii na dodoma alaf uone kama utatoka humu ndani sasa kwa taarifa yako hakuna mji unaojengwa kwa kasi sasa hvi kama dodoma hehehehhehehe jaribu uonebahahaha. kumbuka capital city ni Dodoma lakini inakaa Kisii Town
InaendeleaHiyo Konza haijaishaga tu? miaka mingi kweli mnapigia mayowe
Morocco square ni 22, 20, 9, 3floors. kaa mbali na Nairobi. semeni mupewe mji wa Nakuru ndio mutatoana kijashoWe usijifanye unaongea sana hio unaona ngapi sijapost below 20 hapa usitafute gear hapa tulia
Punguzeni unemployment munayoongoza dunia nzima na slum zinazoshangaza ulimwengu hahhahahhahahhahahahahha alaf kitu kibaya zaidi punguzeni gap between rich and poor hahahhahhahahahhahahBtw GDP per capital ya Southsudan INA double ya Tz..this guys are poor
Arusha and mwanza,dodoma and moshi. ...unaswali lingine?Njee ya dar sidhani kuna town iko na 10 floors tanzania
kama hujaelewa io picha basi una mtindio wa ubongo
You have very few people in twitter.....and the few don't know to use it so u go to Kenyan trends instead I pity u
Tusibishane sana hahahaahhahahahMorocco square ni 22, 20, 9, 3floors. kaa mbali na Nairobi. semeni mupewe mji wa Nakuru ndio mutatoana kijasho