NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,726
- 49,572
EehWanatumia Minara hapo sawa
Would like that open space for TRL to be the Central train station. BTW phase 2 BRT Project will see that kawawa road connected to Morogoro road making Kawawa road from morocco all the way to Nyerere road one of the pedestrian and cyclist friendly road in town. cant waif for that.
so you mean wakoloni waliacha kiccc,times tower,uap,thika road,sgr,master plan ya upperhill,dongo kundu,kasarani...acha ujuha ndugu
Nakwambia muda ambao tumejenga dar kwa speed ni just ten yrs tu hahhhhhahKwani mlipata independence wen si ni mbele ya kenya
Inaheshimiwa kwa lipi hebu nieleze nataka kukuskia British boyHawasee sijui wanakaaje sijui wanafikiria aje wanadhani city ni towers tu...inafaa wajue Dubai iko na tall towers kushinda london but city inaheshimiwa ni london
Kama 2 towers twende kazi jengo kwa jengo tuanze na over 20 twende kazi baba tuone ziko ngapi😀😱😀😀😀😀😀😀😀Towers mbili wamejenga 2yrs ago ndio imewafurisha vichwa
Sasa hvi tunaitwa sleeping giants umeona enhhhh kazi ni kazi tu hhahhahah vp kuhusu njaa janga la taifa imeisha au???? Hahahahhaa magu nomaaaandio maana wanaitwa Bongolala
Hahahahaah povuuuuuuu baby😀😀😀😀😀😀sasa mnajenga shagalabagala bila plan.
Ndio maana mji umechaka.
Iyo ata tumia googleInaheshimiwa kwa lipi hebu nieleze nataka kukuskia British boy
So Google ndio muongozo wa maisha yako hata ikisema wewe demu utakubali nimekwambia nieleze heshima moja unayoijua weweIyo ata tumia google