saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,170
- 1,356
alafu utuletee za mafuriko darkuna wakenya wanalalamika ati kwanini siweki picha za dar badala yake naweka picha/screenshots za nairobi zinazo zungumzia mabaya tu ya jiji hilo.
jibu ni kwamba kwetu sisi kila mtu ana task yake.toka siku za kwanza za thread hii,tuliamua kuwepo hapa kimkakati.
hatukurupuki,tumejipanga na ndio maana mnaona kila mtu ameachiwa atawale eneo lake analolimudu ili "kuwanyorosha" wapinzani wetu katika kiwango cha juu.
moja kati ya task yangu ni kuweka screenshots zozote zinazo zungumzia ubovu wa jiji la nairobi kwasababu nalifahamu vizuri jiji hilo.
baada ya kufanikiwa vizuri sana ktk kuweka "screenshots za matope" mpaka kupelekea mkanganyiko kwa wapinzani wetu,sasa naangazia suala uhalifu na matukio yanayohatarisha usalama wa raia na mali zake.
kwa nairobi matukio ya kihalifu ni mengi mno na yanatisha kuzidi uhalifu wa dar es salaam.hii inachochewa na umasikini wa kipato miongoni mwa vijana wengi ambao ni ma-jobless pia inachochewa kwa kuwepo pengo kubwa kati matajiri na masikini.Kenya masikini ni masikini totally kuanzia yeye mpaka uzao wake wote atakao zaa.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()