Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
Na mnara ukitolewa je utasemaje????????
wacha kuzunguka. jibu swali
Na mnara ukitolewa je utasemaje????????
Na mm ndio nakuuliza mnara ukitolewa height itabaki ileile tumia akili tu ndugu we unaeza pigia urefu wako na kofia hhehehheheehehwacha kuzunguka. jibu swali
Facts you need to know about hotels between Mombasa and Dar is slum are. Dar is slum has many hotels compared to Mombasa hotels.Kwenye hotels kakimbia mwenzio amekalia kuiba pic za bridge akajua hatuijui mombasa hahahhahahhahaha
Ila majengo ya bongo yangekuwa yanawekewa misitima kama wakenya top ten majengo7 yangekuwa yanatoka bongo
wazee wa minaraThat shows how shallow minded you are. Sijui ulienda shule kufanya nini. swali halijibiwi na swali. na wala pia hakuna sheria inayozuia mtu kuweka mnara juu ya mjengo. wekeni minara kwa izo mijengo zenu mbili basi. urefu wa jengo unahesabiwa kuanzia chini kabisa mpaka tip yake ya mwisho. sio top floor peke yake so you can never change Burj Khalifa's height with your shallow mind.Na mm ndio nakuuliza mnara ukitolewa height itabaki ileile tumia akili tu ndugu we unaeza pigia urefu wako na kofia hhehehheheeheh
unabisha vitu vya wazi kweli...msa mtaiona paa this tym round..usisahau crest apartments pia na kizingo zote ziko 22 and above..msa alafu ulete ujinga wa mwanzaSo am I blind mm sioni au?????? Au sijui kuhesabu hahhahahahha 16 floors unasema 26 hhahhahhahahah daaaah aiseee hesabu vzr bro hahhahahahhaha hapa hutoki mbona
walimaliza excavation?Crest will stand at 24floors
Siumekimbia mwenyewe kwenye hotels ahahhahahah onganisha nairobi mombasa na kisumu kwenye hotels alaf uje hapa twende kazi mm nimekuruhusu hahhahahahahha wewe usijifanye Leo hujui slum zilipo hahahhahahah naona unalazmisha hata kama Hanna iwepo Hahahhahaha unbelievable yearFacts you need to know about hotels between Mombasa and Dar is slum are. Dar is slum has many hotels compared to Mombasa hotels.
Mombasa has more 5stars and 4stars hotels dwarfing Dar is slum hotels.
Mombasa hotels zinajaa na watalii kushinda hoteli za Dar is slum. kwa sababu gani? ni kwa sababu ya Advertisement kwa nchi za ulaya ambayo Dar is slum imezembea.
so wake up from your slumber Bongolalans
Ilitolewa mnara height itabaki the same mbona hapo hutaki kuelewa nakujibu swali lako kupitia swali maana swali lako hata mtoto mdogo anakujibu hehehehhehehe mnara ikitolewa height itabaki the same hahhahahhahahaa hakuna ujanja hapa tunataka actual height babaThat shows how shallow minded you are. Sijui ulienda shule kufanya nini. swali halijibiwi na swali. na wala pia hakuna sheria inayozuia mtu kuweka mnara juu ya mjengo. wekeni minara kwa izo mijengo zenu mbili basi. urefu wa jengo unahesabiwa kuanzia chini kabisa mpaka tip yake ya mwisho. sio top floor peke yake so you can never change Burj Khalifa's height with your shallow mind.
Advice: rudi shule.
Wewe kma uko tayari twende mm sina shida hahahhaha mm nakwambia Mwanza itakutoa povu twende kazi alaf kisumu nikupe arusha uone kma kamasi hukutoa wewe hahahhahhahahhaunabisha vitu vya wazi kweli...msa mtaiona paa this tym round..usisahau crest apartments pia na kizingo zote ziko 22 and above..msa alafu ulete ujinga wa mwanza
Maneno ya nin sasa hahhahahaha kisumu nikupe arusha hebu jichagulie mwenye kisumu nikupe IPI zanzibar ,arusha, tanga au mbeya utachagua wewe nimekupa nafasi uchague hahahhaahaha😀😀😀😀😀😀 kote moto utachagua wewe sasa kazi kwako hahahahahaahahahunabisha vitu vya wazi kweli...msa mtaiona paa this tym round..usisahau crest apartments pia na kizingo zote ziko 22 and above..msa alafu ulete ujinga wa mwanza
Skytower itakua na floor 22Mwenye kujua hili jengo gan na litapanda floor ngap aniambie
Liko makumbusho pemben ya Millenium tower nje ya citycentre
Sahv naona loko floor ya 21![]()
![]()
![]()
Naona umeitumia Camera yako vizuriNext week vitu vinaanza kudondoka hapa tusikimbiane.