Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAIROBI
C8JznjyUIAMH3IW.jpg
C27C0j3UkAAVlWW.jpg
CyVPnLsWgAE4FTu.jpg
CqJz5U4XEAAXXD8.jpg
 
the bulding was initially supposed to be 22 or 24floors. wewe waiona kwa picha na mm naiona kwa dirisha langu. 26floors na bado yapanda
😀😀😀😀😀 povuuuu umekua contractor now hhahahhhahhaahhahaha
 
22 only bro uongo wa nn sasa hahahahahahaha
View attachment 493079
😀😀😀😀😀 povuuuu umekua contractor now hhahahhhahhaahhahaha
Yeah. Whatever. Huo mjengo nauona kila siku na bado floors zinapanda. halijaisha kujengwa. saa hizi imefika 26floors. wacha liishe kabisa mpaka nione finishing yake ndio nitajua actual floors ni ngapi. distance ya hio building na mm ni only 200m
 
Sifa tu hamujambo hahahhahahahaha kazi munayo huu mwaka hahhhahahhahahah
 
Whaa Kambalanick umekam na ubaya. awa ni wa kuwapeleka mos mos. tunawaambia na hawaskii. They recently built Pta sijui Pspshit wakajaza kichwa maji. Speed naona umekam nayo ata wanaeza pasuka akili
 
Hakuna kitu anapost zaido ya repeatation maana walipost wakina wanjala, kina ojey , na nairobi walaker mpaka wakachoka so bado mm sijaona jipya hapo hhhhghahahahha
 
Back
Top Bottom