Hivi hawa wanaosema sijui Mbeya, Tanga, dodoma na mikoa mingi tu utasema wao wanakaa wapi hapo Dar.
kuna mitaa ukipita kama Tandale sijui ni mpaka aibu kusema uko Dar na hapo almost centre sasa nenda barabara za mijini ni mashimo tu na ziko kata almost 95% za Dar ni umaskini wa kutupwa sio watu tu hata miundo mbinu. Sehemu nzuri ni chache sana na uhai wa Dar ni bandari tu. Kwa Tz Dar mji mkubwa sana na hilo halina shaka mpaka kiuchumi ila miundombinu ni mibovu sana ziko sehemu nyingi Dar ni kama uko kijijini tu. -
Heijah , mkaazi Tandale, Darislum