Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Economy ya Kibera pekee apana cheza nayo. Hawa ni watu matajiri chini ya maji. Wakija TZ automatically wanaingia kikundi cha middle class, ndugu
waje waingie middle class...........unadhani maisha mazuri yanakuja kirahisi rahisi pasipo kupambana eeh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
huyo jamaa katokelezea kama mkora.......octopizzo kibaka
 
sisi tunajenga flyover panopobidi kujengwa na sio tujenge flyover wakat barabara zinazozunguka mijini zinatosha alaf nilikupa hii video itazame vzr ujifunze kituπŸ˜€πŸ˜€
huyo ni zero utindio wa ubongo unamsumbua
 
huku bongo watu wana issue zao,tukikuona mwanaume unauliza kazi anayofanya mwanaume mwenzio,tunaweza tukadhani huenda we shoga!ni mademu tu ndo wenye tabia za kuuliza kazi wanazofanya wanaume,be careful!!
[emoji3] [emoji3] ulichomwambia ni kweli kabisa......ila anaweza akawa demu mwambie akucheck DM
 
Jana nimeona picha ya interchange ya kurasini kwa juu, asee kama ulaya. Nikiziona tena ntazichukua niweke humu. Bongo hatari sana.
 
Hapo ni suburbs? Panakaa pazuri [emoji1474]
ndiyo chief.......tena hapo nipakawaida sana.........sema hatuna aerial view picha za maeneo mengi sana......na hilo eneo ukisogea kulia kushoto bado nyumba zipo sema kuipata picha ya aerial view ya pamoja ni mtihan lazima uwe juu sana na nyumba hizo zitakuwa hazionekani ni pakubwa sana
 
knock out unataka kushindsna na arusha kwa hospital hiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kisumu
View attachment 812274 View attachment 812275
Wewe ni fala sana. So you expected me to just remain with you here overnight to argue about useless things? I have a lot of things to do my friend. On the other hand, ndo hizo government hospitals in Kisumu
1. Jaramogi Oginga Odinga Referal Hospital
 
wanakwambia karaikoo ni CBD, mara soko, mara surbarb.... ukimbana sana, anageuza lugha na kusema juu ni surbarb, chini ni CBD + soko la kuuzia samaki na vitunguu na nyanya..
Karikaoo ni downtown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…