Karibu nairobi juu naona unawaza sana...na unafuatila sana mambo ya nairobi...city kama jo burg iko na slums.every modern city has its dark side ..you can fool your fellow Tanzanians but you cant for yourselfDar ipo na bahari kijana. Wacha kuweweseka.


Kwikwikwikwi give Dark side of London.Karibu nairobi juu naona unawaza sana...na unafuatila sana mambo ya nairobi...city kama jo burg iko na slums.every modern city has its dark side ..you can fool your fellow Tanzanians but you cant for yourself![]()
endelea kupost picha za watu😀😀😀😀Modern city of dar. ..over 70% looks worse than kiberaView attachment 807264View attachment 807267
wana maisha magumu sana wakenya...
Hapa ni Dar ama Mombasa ndio kuna palm trees...heheehe chagua ni gani ili iwe Mombasa vs Dar😀😀😀😀
nairobi bado sana.......kuifikia dar kiukweliHii inaitwa wakomeshe vijana wa Nairobi. Kariakoo hapo.
View attachment 807094
View attachment 807096
Sio kitu geni kwetu, kama ilivyo kwenu View attachment 807098
ushakuwa chizi sasa unalinganisha hayo mabanda na hiyo sehemu ya darNimeweka kwa makusudi nilijua utakuja tu. Zile zingine umekubali ni za Nairobi?
bomba la mafuta linajengwa, unajipya?
nairobi inasikitisha sana........
hii ndiyo tz na bado wakenya mnapoteana daylekaribu sana obama endelea kuenjoy ww na familia yako ndani ya serengeti😀😀😀😀😀😀
naona boxing mtaani sasa hii kwa hawa wapuuzi wakikenya huiita boxing street viewbaba ndogo nairobi Street View
![]()
![]()
![]()
