Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

iko mbele kwenye slums, corruption, unemployment rate, tribalism, police killing, no security, no water, no food😀😀😀😀😀😀
Hii thread yote umekua ukijiaibisha na bado unazidi kujiaibisha. Tafadhali watanzania wenye huruma, compassion na of common sense saidieni kijana wenu.
 
ndio maana nilikwambia ww ni mgeni humu umekuja juzi tu hehehhe😀😀😀😀😀 walikuwepo wenzako kama ww na wakakumbia humu😛😛
 
wanataka kushindana na dar😀😀😀
D8502122-BE54-4EF7-982D-1CFB1D62C1B8.jpeg
 
ndio maana nilikwambia ww ni mgeni humu umekuja juzi tu hehehhe😀😀😀😀😀 walikuwepo wenzako kama ww na wakakumbia humu😛😛
Na unadhani sijui? Hujui mtu anaweza kuitizama JF bila ya kua na account? JF waKenya wengi sana huja kuwahurumia na kupitisha wakati my fren. Juzi juzi tu nikaamua nifungue account ili nikusambazie akili mkuu, why? Huwezi post unless wewe ni member. So ukisema mimi ni mgeni ooh sijui nini.. Bossss! Hainidhuru ata kidogo.
 
acha kujidanganya, tatizo la wakenya hawajielewi, wanaona sifa kusindikiza wachache wenye kenya yao (watawala-kikuyu and their allies, uchumi-owned by wites na wakenya wachache walio madarakani approx. 10, ardhi yenye rutuba- wanasiasa wakubwa hasa familia ya kenyatta na their allies), wakenya wengine mmebaki mkitanga tanga kama kuku
Wewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.

Be useful to this forum
 
Na unadhani sijui? Hujui mtu anaweza kuitizama JF bila ya kua na account? JF waKenya wengi sana huja kuwahurumia na kupitisha wakati my fren. Juzi juzi tu nikaamua nifungue account ili nikusambazie akili mkuu, why? Huwezi post unless wewe ni member. So ukisema mimi ni mgeni ooh sijui nini.. Bossss! Hainidhuru ata kidogo.
karibu sana uwanja wa jamii forum ila tu usije kimbia humu tafadhali😀😀😀😀😀😀

karibu sana once again
 
Wewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.

Be useful to this forum
hehehe unagombana na kila mtu😀😀😀 inaonekana mgeni unamoto sana leo
 
Haha nilikuambia utadhani watu ishirini kumbe mmoja

After all hii ni forum na naweza jadiliana na mtu yeyote
 
Wewe inakaa unatoka kwenye mashimo na Vichaka za Tanzania. Nitakusihi ufanye research on whatever you are talking about... Or better yet, just cross over the border and travel around Kenya. Not even Nairobi, just travel around Kenya. Ati uchumi umeshikiliwa na wazungu.. Wazungu gani? Toka vichakani (naona uko na internet) google about Kenya alafu ukuje hapa tujadiliane. Sio kuropokwa tu juu uko na simu na internet.

Be useful to this forum
ha ha ha ha ha, povu lote la nini? ukweli unauma
 
Haha nilikuambia utadhani watu ishirini kumbe mmoja

After all hii ni forum na naweza jadiliana na mtu yeyote
hehehe nimecheka sana yani kila mtu ww ni mgonvi wako dah😀😀😀😀😀😀
 
sasa unalia tena whats wrong??😀😀😀
Kijana wenu anazingatia emojis sasa? Calling on all Tanzanians of good will. Tafadhali saidieni huyu kijana wenu.

Bado nitakusisitizia sasa lakini bila emojis:

Hatutaki in any way WHATSOEVER kushindana na Dar. Dar inataka by ALL MEANS kushindana na NBO
 
mm nimeshapambana na watu kama ww zaidi ya 10 ndugu rejea post za nyuma utajionea hehehe😀😀😀😀😀
 
Hakuna povu. Zingatia niliyo kuambia hapo Juu alafu uje tuendelee kujadiliana. FOCUS! Make yourself useful ndugu
unafanya utafiti panapokuwa na jambo unalotaka kulijua kwa niliyoyasema yanafahaminka hamna haja ya utafiti! endelea kuwa mbuni kwa kuficha kichwa kwenye mchanga ukidhani hauonekani.
 
Back
Top Bottom