Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1771.JPG
 
huyo anafkiri bado ni ile tz ya 90s😀😀😀
Mimi hata TZ ya 90s 60s 1800s sijawai kuipa fikra buda! Nawasihi mjikakamue labda inshallah mtakuja kuifikia hadhi ya Kenya (na Dar hadhi ya NBO)
 
Mimi hata TZ ya 90s 60s 1800s sijawai kuipa fikra buda! Nawasihi mjikakamue labda inshallah mtakuja kuifikia hadhi ya Kenya (na Dar hadhi ya NBO)
unaniletea link za 5 to 6 yrs back serious😀😀
nilikwambia nairobi kufikia dar labda 30yrs mujenge kweli kweli
 
which year send me that link 😀😀😀
2016.. 2years ago. Na TZ Sidhani mmekua na miradi ya kuiongeza percentage of population with access to electricity. Kenya kumekua na mradi inaitwa THE LAST MILE PROJECT (ambayo niko sure unaitambua kwani uko obsessed na Kenyan media sites) ndio maana nikaweka Kenya at 69%

You can look it up. Hapa facts tuu
 
ukhakha tuma hio link kwann unaogopa kutuma link😀😀😀😀😀😀😀
 
Kitu ingine buda KEBS yetu ni ISO certified entity. Haiwezi kubali substandard ama harmful substances to the Kenyan populace. Kabla muzidi kusherekea fake news kutoka Kenya afadhali mfanye consultations mjue what's real and what's not
kebs ni wasanii sana, nawafahamu vizuri, kwao pesa kwanza afya baadae, rushwa kenya itawamaliza
 
unaniletea link za 5 to 6 yrs back serious😀😀
nilikwambia nairobi kufikia dar labda 30yrs mujenge kweli kweli
Nairobi itafikiaje Dar kama already Iko mbele kwa kila fronts. Alar, mtu alie mbele atamfikiaje yule ako nyuma sana? Ama mimi ndio sielewi unachomaanisha. Nafikiri akili yako kidogo punguani
 
Nairobi itafikiaje Dar kama already Iko mbele kwa kila fronts. Alar, mtu alie mbele atamfikiaje yule ako nyuma sana? Ama mimi ndio sielewi unachomaanisha. Nafikiri akili yako kidogo punguani
iko mbele kwenye slums, corruption, unemployment rate, tribalism, police killing, no security, no water, no food😀😀😀😀😀😀
 
Nairobi itafikiaje Dar kama already Iko mbele kwa kila fronts. Alar, mtu alie mbele atamfikiaje yule ako nyuma sana? Ama mimi ndio sielewi unachomaanisha. Nafikiri akili yako kidogo punguani
acha kujidanganya, tatizo la wakenya hawajielewi, wanaona sifa kusindikiza wachache wenye kenya yao (watawala-kikuyu and their allies, uchumi-owned by wites na wakenya wachache walio madarakani approx. 10, ardhi yenye rutuba- wanasiasa wakubwa hasa familia ya kenyatta na their allies), wakenya wengine mmebaki mkitanga tanga kama kuku
 
2016 haioneshi majibu inaonesha majibu ya 1990 sasa niletee data ya 2016😀😀😀😀
Hahahaha ndio maana wakenya walikimbia toka hapa. Wewe akili yako punguani aisee. Hujui kusoma graphical data. Unawaza ni kama ulidrop out of school. Nahurumia wale unaotangamana nao on a daily basis. Jesus Christ!

Soma graph vizuri. Acha nikuanzishie.. Data ni from 1990-2016 ..haya endelea
 
Back
Top Bottom