ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
from which source?😀😀😀😀😀😀Hahahaha Nairobi 8.6/10
Dar 4.9/10 case closed
from which source?😀😀😀😀😀😀Hahahaha Nairobi 8.6/10
Dar 4.9/10 case closed
ikwapi mm nacheka vile mzungu alivo na akili kawakodishia ndege munazilipia pamoja na loss mpaka kesho😀😀😀😀😀😀Are you jealous![]()
naskia sauti ya wivu hapo
hehehe sasa hvi atakua kwenye luxury bus na sio sacco tena😀😀😀😀😀Gor tabu tupu! Top striker anapanda ki hice cha sacco kufanya mizunguko! Jamaa akaona isiwe tabu
Kakimbia shida kaja kwenye raha, kapewa range, full furnished house na anaogelea kwenye mapesa. Malipo yake ya miezi miwili ni zaidi miaka miwili ya Gor Mahia. Bado Kahata sasa..View attachment 801247View attachment 801248View attachment 801249
very small dear😀😀😀😀😀
Yeah.. from Tz his destination should be Europe. He has made a step forward. Kenyan teams payment is pathetic, this is a known fact. Any of your top players cant turn down an opportunity to play in Tz if it arises. Infact this goes to music industry, movie industry e.t.c..Hata Ronaldo alitoka manchester akaenda real madrid,thats football for you,im sure his dream is to join the big league of akina victor wanyama sii upuzi wa T shillings
heheh hio picha ya pinnacle since 2015😀😀😀😀 nioneshe tofali moja tu plzOne of you asked about Pinnacle.. Soon to be tallest SKYSCRAPER in AFRICA. A collosal building requires a very deep foundation. So calm down, it's on track View attachment 801172
Full mufindi.. Kapewa na private car na full furnished house siyo habari za kupanda ma3 akielekea Kwenye viwanja vya rugby..hehehe sasa hvi atakua kwenye luxury bus na sio sacco tena😀😀😀😀😀
![]()
heheh naona jamaa anatafuta njia ya kujitetea😀😀😀😀😀Yeah.. from Tz his destination should be Europe. He has made a step forward. Kenyan teams payment is pathetic, this is a known fact. Any of your top players cant turn down an opportunity to play in Tz if it arises. Infact this goes to music industry, movie industry e.t.c..
I guess even Kenyan JF members are eagerly waiting for a job oppurtunity to come work in Tz. HAHAHAAA, Kenpaulite inbox me your particulars so as i can get you a free ticket out of your misery in Nairobi
450,000 ndio unasifia hapa,,,maskini HIIIGor tabu tupu! Top striker anapanda ki hice cha sacco kufanya mizunguko! Jamaa akaona isiwe tabu
Kakimbia shida kaja kwenye raha, kapewa range, full furnished house na anaogelea kwenye mapesa. Malipo yake ya miezi miwili ni zaidi miaka miwili ya Gor Mahia. Bado Kahata sasa..View attachment 801247View attachment 801248View attachment 801249
Aliekwambia iyo Ni mkuki ni Nani?
No thank you i dont trust albino eaters, let me drown in my own misery as u put itYeah.. from Tz his destination should be Europe. He has made a step forward. Kenyan teams payment is pathetic, this is a known fact. Any of your top players cant turn down an opportunity to play in Tz if it arises. Infact this goes to music industry, movie industry e.t.c..
I guess even Kenyan JF members are eagerly waiting for a job oppurtunity to come work in Tz. HAHAHAAA, Kenpaulite inbox me your particulars so as i can get you a free ticket out of your misery in Nairobi
ana force ushindi sijui kaokota hio picha nchi gani anakwambia dar nimecheka sana😀😀😀😀Aliekwambia iyo Ni mkuki ni Nani?
Kwani Nbo Hamna makazi duni?tena bora apo
Yeah nasifia kwa kua Kagere amepata ongezeko la 500% kwenye mshahara wake. Angebaki Kenya angebaki kwenye umaskini level ya Kibera.. angalau sasa hivi anaeza ishi kwa raha kidogo450,000 ndio unasifia hapa,,,maskini HIII
Hahahaa... poa mkuu, offer hipo wewe tuNo thank you i dont trust albino eaters, let me drown in my own misery as u put it
Mnawaza mbali sana wakat Dar inawashindaI am warning Tanzanians Of the Shame awaiting them by 2020.... Naona watu wakikimbia hapa.... Already interms of buildings Dar imepigwa pants down kwa Road infrastructure Hatufai ku compare coz Dar iko nill sasa nini ingine tunadebate hapa!?? Kuna projects mingi saana Nairobi Zinaendelea na in two years itakuwa Nai vs Jobarg
Nbo haifiki ata Pretoria kuizidi Dar tabu ndio iwe jozi au kuala lumpur uchizi unatiba wahi sasaNop itamua nairobi vs Kuala Lumpur ama manila jobourg ni uchafu😀😀😀
Sikujua tunapishana kwa ukubwa. But anyway, that is just a section of NBO outskirts. Dar outskirts vipi? Naona mkipost beach areas na zile towers tatu tuvery small dear😀😀😀😀😀
Wrong. This picture was taken two weeks agoheheh hio picha ya pinnacle since 2015😀😀😀😀 nioneshe tofali moja tu plz
Kivipi mkubwa?Mnawaza mbali sana wakat Dar inawashinda
Yaaani hapa sio kikitonyama???? ????ana force ushindi sijui kaokota hio picha nchi gani anakwambia dar nimecheka sana😀😀😀😀