Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wacha ni spoil mood kidogo tu😀
IMG_20180610_224322_255.JPG
 
huyo anapost tu ndo wale wa kwenye vijiwe vya kahawa!!
utakuta wamekaa wanaanza "aaahh rwanda yaani rwanda wametuacha mbali,kigali mji wao mzuri sana"na kumbe hajawahi hata kwenda masikini dah! hajui Nairobi ni miongoni mwa miji yenye slums mbaya kuliko miji yote afrika,mji mchafu,hakuna ustaarabu,usafiri wa hovyo sijawahi ona,!!!asalale.. nilidata Kigali nilikuta slum hizoo doh! doh! doh!..

IMG_20180610_224530_981.JPG
 
usiangaike kijana hiyo ni jangwani kitambo tu nyumba hizo zilishavunjwa kipindi pombe anaingia tu madarakani..!!hata hivyo inaonekana wakenya hamuelewi maana ya slums eeh??nenda kafananishe hizo nyumba na vibanda vya kayole,kiambui,korogocho..etc

Tihahahhaaaaa..... Kweli wewe ni mlevi... Yani Presidaa akiwa Pombe... Nchi nzima Inalewa?? ? Duuuh. Don't lie to the world. those slums are there and that's where 70 % of Dar is slum live. Usidharau kwenu. Itabaki tu kuwa kwenu.
 
kwa mfano ukitaka kumuelewesha mtu wa SA kwamba kenya Imeizidi tz kwa GDP ya $26bn.

utamuonesha kitu gani,maana more than 40 year mnatuzidi uchumi,but hali yenu ya maisha tunashindwa kuielewa majirani.
hehehe nilitegemea nione below poverty in line in kenya labda 20% heheh kumbe 45%😀😀😀😀

nilitegemea kuona may be unemployment rate in kenya may 11% kumbe iko 40%😀

sijui wapi walimkosea Mungu
 
Tihahahhaaaaa..... Kweli wewe ni mlevi... Yani Presidaa akiwa Pombe... Nchi nzima Inalewa?? ? Duuuh. Don't lie to the world. those slums are there and that's where 70 % of Dar is slum live. Usidharau kwenu. Itabaki tu kuwa kwenu.
search Google dar slums
search Google Nairobi slums
then,leta jibu hapa!
 
Na nyinyi 70% use below 2 dollars a day... Nowonder you are malnourished. It was very visible in those Simba players.
below poverty line in tz is 22%

unenployment rate is 2.7% hahaha😀😀😀

raha sana yani
 
below poverty line in tz is 22%

unenployment rate is 2.7% hahaha😀😀😀

raha sana yani

Wrong.... If it were so you would be better than Germany. Too sad you only hear that. The real truth 70 % of you live below poverty line..... Msijali... Mungu atawasaidia
 
Wrong.... If it were so you would be better than Germany. Too sad you only hear that. The real truth 70 % of you live below poverty line..... Msijali... Mungu atawasaidia
ukhekhekhe narudia tena below povert lin in tanzania is 22% and unemployment rate is 2.7%

kenya below poverty line is 45% and unemployment is 40%

ipende usipende
ulie usilie
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom