Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sii uoga babaa. Traveling to another country is not just a thing one does whenever they wish. It requires money and a tangible reason. You also wish to travel to New York (which I doubt you have), does it mean it's you're also scared to cross the border?
Haha now ur talking..Money z all we need
 
wrong, For as long as I have been here... Your growth rate has been extronomical but on the ground you remain rooted to the poorest countries of the world.... Hiyo ukinipatia explanation tosha... Nitakununulia chips mayai wakati wa Krismasi....
ukheheheh uchumi umeshikwa na investors mumekiwa bellow poverty line 45%😀😀😀😀

unemployment rate 40%
 
So akina Ichoboy wakifanya hiyo calculation poa watapa growth ya Kenya bado iko juu kuwaliko. They are blinded by the percentage not knowing what is behind it. Does they know that 7.2% is same as 0.072?
growth of what munakaa kupika data na kidanganya ulimwengu wakat munahali mbaya kimaskini na chakula kinasimbua nchi kila mwaka alaf muna hali nzuri gani?????😀😀😀😀
 
Hizi ata Moshi ziko leta nyumba ya maana acha utani
muulize kwanza hiyo nyumba inapangishwa shingapi???yaani hela ya kenya ina thamani wakati huo haina nguvu.

mimi nimeshangaa wanapangishwa nyumba kama hii hadi kwa 16ml za kitanzania.sasa unabaki kuwaza how/why!!!???
 
Sii uoga babaa. Traveling to another country is not just a thing one does whenever they wish. It requires money and a tangible reason. You also wish to travel to New York (which I doubt you have), does it mean it's you're also scared to cross the border?
ukiona mtu anavuka border kwenda nchi nyingine ujue nchini kwao ni hali tete au he/she is looking for something ambacho nchini kwao hakipatikani mf huduma bora za afya,urahisi wa maisha,bidhaa fulani fulani,au kujifunza!!..huku tunawadaka waethiopia,warundi n.k. daily makundi kwa makundi wakiwa dhoofu
 
F59F2AD6-653E-4492-AECC-831C21B7CCAF.jpeg
34E566A9-7F0A-412A-A3EB-343590F4C2A6.jpeg
33AA7ED0-3124-4B84-9A69-DCB56135CE98.jpeg
6219B226-C683-4E8F-8749-F9BE7C3850A0.jpeg
CCB4D063-60D7-48A0-87C8-4188FE2E5E50.jpeg
CEC5F1AA-3ACC-4A0D-89E9-FD4AAA579563.jpeg
1F0DB648-9AB5-43A9-B806-4DE9C547B727.jpeg
0CF72527-B488-43B0-AF42-561B5C0F00D9.jpeg
9D37A2C6-965D-4CD1-A4AD-29CB30370374.jpeg
A3F0F801-92A3-4CF0-BCBA-839C77CEE34A.jpeg
CAF88574-B3B0-4EBF-804F-575284EFEE29.jpeg
91E4A1DB-4572-4C02-B95C-7E5806756606.jpeg
A05A324C-957A-46CB-9346-7A9CAC3D9872.jpeg
5E01C32F-2D2D-4957-B16F-FC5B94052A8F.jpeg
D1A0B3C4-31B1-42F7-BD16-F019CD9F137F.jpeg
DD34D1D9-C7AF-42BD-96F4-D3B6CFFEBF3F.jpeg
 
7.2percent ya makaratasi pia
kwa mfano ukitaka kumuelewesha mtu wa SA kwamba kenya Imeizidi tz kwa GDP ya $26bn.

utamuonesha kitu gani,maana more than 40 year mnatuzidi uchumi,but hali yenu ya maisha tunashindwa kuielewa majirani.
 
wazee wa tourism houses vipi....mbona mmeacha kupost

[HASHTAG]#Kenyan[/HASHTAG] kapuku
 
muulize kwanza hiyo nyumba inapangishwa shingapi???yaani hela ya kenya ina thamani wakati huo haina nguvu.

mimi nimeshangaa wanapangishwa nyumba kama hii hadi kwa 16ml za kitanzania.sasa unabaki kuwaza how/why!!!???
nyumba zenyewe ni tourism houses....halafu wanazileta hapa
 
ukiona mtu anavuka border kwenda nchi nyingine ujue nchini kwao ni hali tete au he/she is looking for something ambacho nchini kwao hakipatikani mf huduma bora za afya,urahisi wa maisha,bidhaa fulani fulani,au kujifunza!!..huku tunawadaka waethiopia,warundi n.k. daily makundi kwa makundi wakiwa dhoofu
umesahau nawakenya pia
 
Moshe town tunapostiwa nyumba moja moja tu.....hiyo nyeri town imefunika sawasawa..........
 
Back
Top Bottom