Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Due TO INFLUENCE FROM KENYA. Back to grammar buddy.
Hakuna kitu apo...Watu wa kask Ndio waliofanya hii kinondoni iwatoe kamasi yaani ukiona mjengo wa maana apa dar ujue Moshi kuna mwingine au Arusha tunadouble. ..ogopa sana watu wa Tz kask ni wachapakazi na wapenda maendeleo iyo influence ya Kenya ni 0.5% kama ipo
 
Arusha architecture is more Kenyan than Tanzanian. Arusha businessmen connect with Nairobi more than Dar.
 
Njoo ufike Moshi utaheshimu...
Arusha Na Nbo Ni kwel sio mbali kivile but nikusaidie info...ukifanya hesabu utagundua licha ya Dar kua mbali kidogo na Arusha lakini biashara zote za ar Dar inahusika zaidi
 
Considering Dar and Arusha are in the same country yet Arusha gets more influence from Nairobi than Dar tells something about Nairobi's influence.
 
Moshi ni kijiji gani hicho unaimba hapa? Leta picha tuone
 
Hizi ata Moshi ziko leta nyumba ya maana acha utani
Naona venye ziko mingi moshi
images (10).jpeg
92158af591b6041f6be94b1561defa22.jpg
images (10).jpeg
92158af591b6041f6be94b1561defa22.jpg
🙄🙄🙄
 
Kama unaipenda Arusha usiitafutie 7bu Za mbali sijui influence za Nbo n so..I can assure you that most of the Arusha residents have never bn to Kenya sasa unataka kusemaje
Considering Dar and Arusha are in the same country yet Arusha gets more influence from Nairobi than Dar tells something about Nairobi's influence.
 
Kama unaipenda Arusha usiitafutie 7bu Za mbali sijui influence za Nbo n so..I can assure you that most of the Arusha residents have never bn to Kenya sasa unataka kusemaje
They've never been to Kenya because they can't afford to. But 100% of them want to visit Nairobi.
 
Yawezekana uoga wa kuvuka boarder na kuna kipindi nchi yenu ilikua sio shwari sana kwhyo lazima mjihami...
Ww mwenyewe huwez kuja Tz kichwa kichwa lazima ujipange
 
Naeza taka kuwe na eastafrica premier league tujumuishe team za tz, Ethiopia, rwanda, ug, kenya na Burundi aisee inaweza kuwa tamu sana
nani ashiriki hiyo vita,kwa hizo battles za ground who will afford? si mtatuharibia hadi viwanja vyetu nyie? We are better off with our VPL, Tanzania league attracts talents from the entire Africa, mpira wenu hauna hela na hauna mvuto, bakini hukuhuko aisee, no one need Kenyans ugly way of playing to spoil our well growing football.
 
Yawezekana uoga wa kuvuka boarder na kuna kipindi nchi yenu ilikua sio shwari sana kwhyo lazima mjihami...
Ww mwenyewe huwez kuja Tz kichwa kichwa lazima ujipange

Sii uoga babaa. Traveling to another country is not just a thing one does whenever they wish. It requires money and a tangible reason. You also wish to travel to New York (which I doubt you have), does it mean it's you're also scared to cross the border?
 
Back
Top Bottom