sport pesa ilishindwa kuwasaidia gor mahia itaweza kwa tanzania hehehheππππNi pesa wametoa wanaita,halafu mjinga mmoja anapambanisha nafasi ya azam na sportpesa tz.
Hiyo pesa hata kumlipa manara peke yake kwa mwaka haitoshi.
Hiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajuiSo baada ya sportpesa kudhamini simba,umesikia simba ikifanya nini na hizo pesa,jua umesema ni nyingi kwao!!!
mwambiekuwa update ili ujue new news.....[emoji2] [emoji2]
ni sawa na hio sport pesa kulipa simba ili watangaziwe biashara yao ππππ sasa usije kufkiri kua sport pesa ndio inaemdesha simba kwa ufadhili BIG NOHiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajui
inakuhusu hiyomwambie
Sasa sponsor atakuwaje tena mmiliki wa klabu? kwani Arsenal inamilikiwa na Fly Emirates? Au Man utd inamilikiwa na Chevrolet? sponsors are just sponsors and that's it. That's why you will see teams changing sponsors every now and then. Kweli we are just arguing with zuzusKwahiyo mmiliki mwenye hisa zaidi za umiliki wa simba ni sportpesa!!!!sio??
Sasa kama umejua ni pesa mingi wamepewa toka wajitambue,umeshindwaje kujua itawasaidia kitu gani!!!!!Hiyo ni sawa na kuniuliza Arsenal wanafanyia nini pesa wanazopewa na Fly Emirates. Hayo ni masuala ya ndani ya timu ambayo hata wewe apo Dar huyajui
Akikuonyesha gari yake nitag,kenya gari wanamiliki wahindi na wazungu tuhehhe feelings zimekukamata kisawasawaππ
hapa yenyewe niko my own car lexus manual 7 speed transmission heheheππππ 260km per hr
View attachment 789953
Nadhani umejua kwanini nilimuuliza hili swali mwenzako.Sasa sponsor atakuwaje tena mmiliki wa klabu? kwani Arsenal inamilikiwa na Fly Emirates? Au Man utd inamilikiwa na Chevrolet? sponsors are just sponsors and that's it. That's why you will see teams changing sponsors every now and then. Kweli we are just arguing with zuzus
poainamhusu hiyo
Hehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale paleni sawa na hio sport pesa kulipa simba ili watangaziwe biashara yao ππππ sasa usije kufkiri kua sport pesa ndio inaemdesha simba kwa ufadhili BIG NO
ni kama vile NMB inavoilipa azam fc kutangaziwa biashara yao
View attachment 794726
Nairobi ukipaki gari mtaani km hivi,ndani ya dk 2 utaikuta juu ya mawe,machokoraa washaiba kila kituhehehehhπππ nishafika home
kitu cha mwingerez hichoπππ
mwaswast roho inamtoka anataman angezaliwa tanzania hehheheh
View attachment 789971
View attachment 789974
View attachment 789978
View attachment 789980
View attachment 789982
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]tanzania and azam tv tano tena au sio wajameni
Ni tunakushangaa wewe kuona ni bigdeal.wakati pesa yenyewe mia mbili.Hehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale pale
Nairobi ukipaki gari mtaani km hivi,ndani ya dk 2 utaikuta juu ya mawe,machokoraa washaiba kila kitu
team zetu gani kutoa pesa ya kufanyiwa matangazo ndio kudhaminiwa hehehe mbn NMB wanatoa pesa azam fc lakin hatuskii neno kudhaminiwa ππππHehehe kitu hamtaki kuamini na kukiri ni kwanba timu zenu zinadhaminiwa na sportpesa. Mtakaa ila ukweli itabaki pale pale
heheh baskeli hana hio gari atoe wapi??Akikuonyesha gari yake nitag,kenya gari wanamiliki wahindi na wazungu tu