Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

umeshindwa kujibu??😀😀😀😀
Hii imeshinda hadi parliament yenyu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
gate.jpg
 
Yani Tanzanians Wakifika Level ya Kufanya Biashara na kenya Wao hujiona Wamefanya Miujiza Kubwa sana...

azam ni brand kubwa sana africa.
haifanyi biashara tu kenya peke yake bali nchi nyingi sana za africa na nje ya africa.

hizi ni baadhi tu.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
IMG_20180604_110739.jpg
IMG_20180604_110722.jpg


hapo sijataja Zimbabwe na zambia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
sio tz tu, EA africa nzima. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Nataka Prove.. Aty azam What?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hio Azam haifiki hata Quota ya M Pesa na Unalialia hapa Azam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Watajua Hawajui.. Simba imeamka
mchezo wa wanaume kulaliana....huyo simba aliyeamka bila shaka ni yule simba shoga wa kenya. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

IMG_20180604_111640.jpg
 
azam ni brand kubwa sana africa.
haifanyi biashara tu kenya peke yake bali nchi nyingi sana za africa na nje ya africa.

hizi ni baadhi tu.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23]
View attachment 793682View attachment 793683

hapo sijataja Zimbabwe na zambia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hya M Pesa inatumika World wide sahii na SPORTPESA na Bado Unapiga mdomo hapa aty Zimbabwe.. Meaning Hio azam yenyu tunaweza compare na companies Kama Tuzo na Broockside
 
hahaha actually he is a very good businessman..theres no doubt abt that...ila hio tactic ya kuita kila kitu azam its a very poor business tactic...huwezi ukaita product za aina tofauti the same name kisa tu zinatoka kwa kampuni moja...azam soda na azam soap..jamaa anachanganyisha tu kama mjinga😀😀😀
huwezi mpangia mtu aite bidhaa yake ama kampuni yake jina ulipendalo angali mali si zako.......

kipi kinachokuuma...[emoji2] [emoji2] [emoji2]
we ni kiumbe wa ajabu sana yaani unadiscuss kitu ambacho hata hakikuhusu
 
Hii Azam yenyu ni kampuni zero hadi Kampuni ndogo ndogo kenya Kama Brookside na Tuzo zimeitoa... Bure kabisa
povuuuuu.............

wew siulisemaga hauitambui azam sasa ni kitu gani kinachokufanya udiscuss kitu usichokitambua
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Baana... Kwanza hii ingekuwa a real forum Kama Nairaland ingekuwa Nairobi vs Dodoma capital to capital ndio tucheke vizuri
yaani we ni empty kweli........eti ingekuwa real forum.....[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

yainyesha ni jinsi gani hata unachokifanya haujielewi
 
Back
Top Bottom