Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hasira za nn sasa lexus inakutoa imani hvi😀😀
hqdefault.jpg
 
Alafu anapiga Mdomo hapa na city number 2 ya Tanzania airport pekee ni Kibanda
😀😀😀😀jamaa amenishangaza sana...kwanza tz ndio maendeleo haijatoka nje ya Dar...capital city dodoma afadhali hata Mogadishu...airport ya second city na third city ni za mabati kisha anafungua mdomo...atakuwa hana akili timamu huyo
 
andaeni hasira za kutosha kuhusu azam.

huko kwenyu bakhresa anakuja kuwekeza katika biashara ya marine katika mji wa mombasa.

mipango ipo tayari so mda wowote boti za kisasa za kampuni ya azam marine zitaanza kuchukua abiria from mombasa, tanga, zanzibar, dar es salaam and vice-versa.

serikali yenyu ilishatuma maafisa wake tanzania kuja kuzungumza na kuchukua ushauri toka kwa tajiri said salim bakhresa ambaye ndiye owner wa makampuni yote ya azam.
viva tanzania.

View attachment 792880View attachment 792881View attachment 792882View attachment 792883
Yani Tanzanians Wakifika Level ya Kufanya Biashara na kenya Wao hujiona Wamefanya Miujiza Kubwa sana...
 
😀😀😀😀jamaa amenishangaza sana...kwanza tz ndio maendeleo haijatoka nje ya Dar...capital city dodoma afadhali hata Mogadishu...airport ya second city na third city ni za mabati kisha anafungua mdomo...atakuwa hana akili timamu huyo
Baana... Kwanza hii ingekuwa a real forum Kama Nairaland ingekuwa Nairobi vs Dodoma capital to capital ndio tucheke vizuri
 
Back
Top Bottom