Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lol only by Tanzanian standards.....tembea in better countries like Kenya ujionee
tulishawaambia tatizo ni picha tu .....ukipita sehemu kama tegeta,mbezi na mengineyo hayo ni maeneo makubwa sana tatizo hatuna picha.........

twajua nyie mshamaliza nairobi yote kwa aerial view zenye ubora sisi hata robo hatujawaonyesha......zikipatikana picha za hayo maeneo utaelewa namaanisha nini
 
Kama hauna picha hakuna kitu, wacha kutuambia blah blah kazi yenyu tu ni mdomo
 
Hatuhitaji picha kutoka kwenu, Google earth katupea picha ya bure wala hatulipii. Tunajua hiyo Dar yenu kwa kuangalia tu images but Google earth
 
tunakuelewesha real fact nyie mshamaliza hapo hizo estate zenu aerial view zote mmemaliza na hamna kipya sisi vingi hatujavipost ila mlichobakisha ni sehemu halisi wanazoishi wakenya wengi.......

mna estate ndogo sana za makazi hauwezi compare na dar hata siku moja
 
A house in Karen
8545.jpg
 
The last one is Greenpark Estate in Athi River. Nakumbuka kuna time mmoja wao alileta hiyo picha na kusema iko Dar

hawa watu wa dar wanafaa watembee .....Dar hata nashuku kama inashindia mombasa city chochote
 
tunakuelewesha real fact nyie mshamaliza hapo hizo estate zenu aerial view zote mmemaliza na hamna kipya sisi vingi hatujavipost ila mlichobakisha ni sehemu halisi wanazoishi wakenya wengi.......

mna estate ndogo sana za makazi hauwezi compare na dar hata siku moja
Na ndio nataka ufungue ya surburb kati dar na nairobi tuone izo estate zenyu hamjapost na mimi nikuletee zetu ambazo kwa akili yako zimeisha
 
Usibashane na hawa watu, tangu nijue dar kuna 5* tatu pekee zingine ni guest house hua sibishani na wao, wanakuanga wazuri sana kwa kusifia dar na mdomo na picha za kurudia rudia za posta kila wakati hakuna lingine.

true...daresalaam has nothing beyond the boring overposted cbd
 
Hatuhitaji picha kutoka kwenu, Google earth katupea picha ya bure wala hatulipii. Tunajua hiyo Dar yenu kwa kuangalia tu images but Google earth
Mtanzania kwa kuongea hauiwezi mshinda, walikuwa wanakesha wakituambia dar ina hoteli mingi kushinda nairobi lakini 5* ni tatu pekee wakati nairobi ni 20 imagine ata kigali ina mingi kuwashinda ,na kama kama kuna mtu anabisha hili tufungue uzi twende moja moja hadi kieleweke
 
uhahahhaha kisa kua the biggest ndio ulichoumia nothing else😀😀😀😀
point yangu ilikua ata nyinyi mnarudia rudia mapicha hapa kila saa alafu
Ambia uyo mwenzako aache unafiki haoni wewe ukurudia picha za dar kila siku bt za nairobi zikirudiwa ata kimakosa juu mi nachukia kurudia picha anaanza kulialia
 
hehehe na huyo anaerudia kila siku??😀😀😀
 
Back
Top Bottom