Wewe ndo unaongeaongea tu....nimekwambia Nairobi sio kama hicho kijiji chenu cha uswazi ambalao halina umuhimi wowote ukandaa huu. How maby times do I have to tell you that any important and significant city has exorbitant prices of land? Nenda jo'burg ama hata Lagos utapata bei ya ardhi iko juu zaidi. Huko pia ardhi inamilikiwa na watu wachache through corrupt dealings as you want us to beleive here? Kawaida yenu sana to associate anything kenya with corruption. Tieni bidii Dar ifike level ya Nairobi muone kama kipande cha ardhi bado itakuwa shilingi mbili jinsi ilivyo kwa wakati huu