Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sehemu hakuna access of road, no water nyumba anazotakiwa kuishi nguruwe anaishi binaadamu alafu unataka kusema muna nafuu au mzungu kawaonea kuita slum???😀😀😀😀
Nakuuliza mbona hiyo picha ya Dar niliyoleta haujaikana jinsi umekuwa ukikana zile zingine?
 
siwez kukana hata siku moja kama ni dar nakwambia mbona jangwani nilikwambia na ushahidi nikakuletea lakin sehem sio dar siwez kusema ndio we vp
 
7E13C7E2-E637-4402-ABE6-BB6C847247C5.jpeg
 
hamnaga sehemu nyingine zaidi ya hizo....tu hizo picha ni za kila siku mnaletewa picha mpya nyie mmeng'ang'ana na hizo hizo
These pictures have never been posted here. Hata hivyo, how many times fo you post those three blue towers and brt on this forum? just asking
 
zimepostiwa sana na mkenya akiitwa wanjala hehehe alipost sana tu rudi page za nyuma sana😀😀
 
These pictures have never been posted here. Hata hivyo, how many times fo you post those three blue towers and brt on this forum? just asking
wenzako walioanza na hii thread wanaelewa........hayo mapicha kila mara tumewaletea new picture na bado zipo kibao zinakula hayo maeneo mara 1000 wait picha zipigwe...
 
Hehehe...unaenda kupiga picha saai kisha upost?
 
hamnaga sehemu nyingine zaidi ya hizo....tu hizo picha ni za kila siku mnaletewa picha mpya nyie mmeng'ang'ana na hizo hizo
Kama we ni mwanaume fungua uzi wa surburb kati ya nairobi na dar tuone, kazi yenyu ni mdomo mingi
 
Back
Top Bottom