Ok mimi nilidhani unaidharau 500 huku Mpesa ikisoma 50k,Nkt! Infact M pesa yangu haijawahi shuka mia tank so I just don't get what you are telling me.. Mia tano kenya ni mingi sana ukilinganisha na Tz hii imetosha shopping ya chakula ya the whole day #3 meals so sijui UNASEMA nini? Infact Kibera chakula kwa kibanda ni 30 Bob na unakula kumwaga Tz lunch yako pekee ni pesa ngapi??
And what's the use of 500k in Tz Kama 2k ni transport ya kuelekea town? Kumbuka bado hujarudi so ni 4k!!! What! [emoji15] [emoji15]What the uses of 20k in Kenya???kama 500 unaunua nguo na kula launch??
Hiyo ni pesa ya pango kwa nyumba ya 3bedroom,kitchen,store,dinning.And what's the use of 500k in Tz Kama 2k ni transport ya kuelekea town? Kumbuka bado hujarudi so ni 4k!!! What! [emoji15] [emoji15]
Uwe na hilo shamba sasa.Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] we unajua Nikiuza shamba kenya hio imetosha kujenga Estate Tanzania na kwanza Rent pekee yangu imetosha kukusomesha hadi ukuwe daktari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
200k Kulishika sio shida Kenya infact most people wameishika ju Shamba Kenya ni kitu ksh2M country per acre Kama ni chini sana and 90% ya wakenya Wako na home land Mashambani so imagine some have 100 acres wakiuza tano are they not millionaires in Tanzania?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok mimi nilidhani unaidharau 500 huku Mpesa ikisoma 50k,
Ni ajabu mtu anakwambia eti, imagine nikiwa na 200k ya kenya nikaenda tz mimi ni millionaire, kasahau hiyo laki mbili ya Kenya kuishika ni mpaka akunye kasimama.
Anyway menyu ya mchana tz kimaskini ni 1500.
Wewe kwa akili yako ukiona mtu analipa rent ya 20k za Kenya unafikiri mshahara au mapato yake ni pesa ngapi kwa mwezi? Kuna siku niliona kodi za nyumba kule masaki na oyterbay ni 75,000 za kenya hadi nikacheka sena. Nairobi kuna mitaa watu wanalipa kodi hata ksh300,000 kwa mwezi. Hapo ndo unajua sasa Dar is just a glorified villageThat's why nikaandika hamjui kazi ya pesa na hamfaham kama hamjui.
Laki tano ya tz ukiiweka kulipia kodi ya pango utaishi katika nyumba nzuri sana tu .
Kama unaona 20k ya kenya ni pesa ndogo sana,nitakuuliza unalipwa laki ngapi ya Kenya.
Ndugu yangu, Ksh15,000 sio pesa unaweza ishi nayo Nairobi. You can't survive in nairobi with ksh15,000. Hiyo labda ukuwe houseboy wa mtu na upewe chakula na mahali pa kulala.ww mshahara wako shs ngap ukivuka 15000ksh nitag
So Tabata is a middle income estate sio? Ni kama pale Lang'ata, Buru Buru au South C? Hehehe....pole kwa kucheka, sikujua. Ndo maana mimi husemanga Nairobi na Dar ni kama usiku na mchanaHiyo ni pesa ya pango kwa nyumba ya 3bedroom,kitchen,store,dinning.
Maeneo ya middle income kama tabata,msasani,kimala and so.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] umenena ukweli........kabisa hata hawa walio hapa hapa hakika asilimia 90 ni korogocho areAajumlishe na wafanyakazi wa nje wanaofanya kzi hapo nairobi ndio wamejaa kwenye estates
hatarikazi imeanza sasa asante majaliwa😀😀😀
uwanja wenyewe utakua hvi baada ya ujenzi
View attachment 786057
wamefanana.....ndiyo maana wanabaki kuwa kings of afrika .....where is president of kenya in hostorical site of africa freedom changes
hebu jishtukie mzembe sana wewe ujueLips Baggy Ana Boo... Aty show USA? [emoji23] [emoji23] [emoji23] HIO NI MIUJIZA TZ.. Sisi hio tuliachia ma DJ Kama kalonje sio wasanii na usisahau sauti soul
Anaposema wafanyikazi wa nje anamaanisha nini? halafu kwake neno estate inamaanisha nini?[emoji2] [emoji2] [emoji2] umenena ukweli........kabisa hata hawa walio hapa hapa hakika asilimia 90 ni korogocho areA
kweli kabisaWewe mbuzi unaijua nyumba ya kupanga kwa tsh 500k/inafananaje??huwezi lipa laki tano ukaishi kwenye balacks humo,labda hujui kazi ya pesa.
hilo jina la mbuzi limempeneza sana huyo jirani [emoji2] [emoji2] [emoji2]Cheki mbuzi huyu ,hivi unajua hata unachokiandika.
Wacha nikuulize unachukua muda gani kutafuta hiyo 500 ya kenya,???maana inawezekana naongea na ng'ombe.
kitu unachouliza kinaeleweka hivyo sidhani kama utapata jibu but i respect u ninja......Anaposema wafanyikazi wa nje anamaanisha nini? halafu kwake neno estate inamaanisha nini?
mbona slums za kibera zinatisha sana!!1: Orangi Town, Karachi, Pakistan
With the population of 2.4 million Orangi Town, Karachi, Pakistan is ranked as the world's largest slum, according to the World Economic Forum. In view of the improper sanitation and negligence from the government, residents have been working to build streets and sewerage pipes on their own.
2: Ciudad Neza, Mexico City, Mexico
1.2 million people live in this slum which is blighted by its reputation for crime. While efforts are being made by the residents to deliver public services, it still lacks facilities like schools.
NISKIE TENA MKIPIGA MDOMO HAPA KIBERA.. View attachment 785595View attachment 785597
Huyu anajifanya mjanja sana hajui kama ujanja ya wakenya iko level ingine. Anadai eti kayole ni slum when i tell him it's not anadai vile yeye ameishi Nairobi anapafahamu vizuri sana. Then I ask him where he used to stay in Nairobi akasema juja kisha namuuliza mtu anapitia njia gani kutoka juja kwenda town anasema Embu!!! hahaha huyu bongolala ujinga yake ni ya hali ya juu
dar siku hizi ina udongo mwekundu??Hapa ni dar yote