hiko kipande cha chini sasa hapo ni. dar hapo umepatia......hilo eneo linaitwa manzese ni sehemu ambayo wanaishi watu wakipato cha chini.....na ukishuka hapo ukitembezwa chini hautoamini unachokiona.....maana kuna mitaa kama kawaida...
I was going to say the same thing (hiyo y brt). Hakuna vile angekataa hiyo. Si unaona hizo picha zingine mbili amekana si DarNajua hiyo umeogopa kukana maana tutakushika na hiyo BRT. Ila najua hata wewe mwenyewe unajua hizo picha zote ni za Dar na hivyo ndivyo 90% ya Dar inavyokaa.
![]()
![]()
anataka awe anaekewa kila siku alaf hajui watanzania wanaishi kwenye nyumba zao wenyewe sio estate za kukodi heheh😀😀😀😀ushawekewa video uzione baadhi inamaana hauoni.....au bundle hauna
leta link kua hapo ni dar hehheeh😀😀😀Na haya je?
![]()
wapi utapata dar udongo mwekundu hehehe aisee 😀😀 kweli maji yamewakaa shingoniNajua hiyo umeogopa kukana maana tutakushika na hiyo BRT. Ila najua hata wewe mwenyewe unajua hizo picha zote ni za Dar na hivyo ndivyo 90% ya Dar inavyokaa.
![]()
![]()
sijui yakwetu ujenzi ukikamilika wapi utapeleka uso wako na hzo gari moshi za 50s sipati picha utakavokua unalia hehheheheh
can i tell you somethingsijui yakwetu ujenzi ukikamilika wapi utapeleka uso wako na hzo gari moshi za 50s sipati picha utakavokua unalia hehheheheh
nobody cares ..tell me 😀😀😀😀