ojey
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 1,148
- 816
hahahahahhaha ichoboy mshambaaaaaa kutoka DanganyikaIchoboy first trip to nai..
![]()
hahahahahhaha ichoboy mshambaaaaaa kutoka DanganyikaIchoboy first trip to nai..
![]()
The view from Golden Tulip Hotel Downtown by indaressalaam, on Flickr
The view from Golden Tulip Hotel Downtown by indaressalaam, on Flickr
The view from Golden Tulip Hotel Downtown by indaressalaam, on Flickr200 meter ikijulishwa na mnara wa juu haha na je ikitolewa hahahaha itakua ngapi????? Hebu tazama urefu wa huo mnara...na jengo is only 31 floors....nataka kujua urefu wa mnara ni meter ngap? Hahhaahhahahaahaha hakuna ujanja hapaBritam tower at 200 metres now on a final clad
Envision Hass and Montave within this view,quite breathtaking....
![]()
source
Chuma la spire kwenye Britam ni 60 metres ,the top floor ni hadi 140 metres total height 200 m200 meter ikijulishwa na mnara wa juu haha na je ikitolewa hahahaha itakua ngapi????? Hebu tazama urefu wa huo mnara...na jengo is only 31 floors....nataka kujua urefu wa mnara ni meter ngap? Hahhaahhahahaahaha hakuna ujanja hapa
View attachment 491338
true beauty
Siunaona sasa 200- 60 ni sawa na 140 hii ndio actual height ya britam tower alaf unataka kushindana na pspf au TPA tower za bongo hahahahhaha yani actual building hamuipati bongo hahahhaha hakuna ujanja hapa bongo ni hatariiiiiiiii😀😀😀😀😀Chuma la spire kwenye Britam ni 60 metres ,the top floor ni hadi 140 metres total height 200 m
FYI Burj khalifa,the tallest building in the world currently has a spire OVER 200 METRES and adds to its final height.
Eat those words.....Britam reigns East Africas skies...
Hawana jengo refu lakushindana na bongo hawaipati pspf twin towers wala Tpa tower hahahaha...hawa wamekaa kijanja sana lakin dunia ya Leo hakuna ujanja ndio maana mpaka Leo pspf ndio inajulikana jengo refu zaidi east AfricaMinara minara yaujanja ujanja apa hakuna lolote
200 meter ikijulishwa na mnara wa juu haha na je ikitolewa hahahaha itakua ngapi????? Hebu tazama urefu wa huo mnara...na jengo is only 31 floors....nataka kujua urefu wa mnara ni meter ngap? Hahhaahhahahaahaha hakuna ujanja hapa
View attachment 491338
Bado sana hio weka miaka 5 tena mbele hio tunaita majaaaliwa inaeza kua au isiwe..... Ukitaka under construction project dar au projects utakimbia hahahaha bora unyamaze tuRelax..
take a chill pill
Hili hapa limeshawatia kiwewe
Tumo ligi ingine,sio ya kwenu
New Hilton updated renders.
![]()
![]()
OVER 330 METRES INTO AFRICAN SKIES......leave alone Britam yenye mnateta,this is the real African Giant,a Titanic tower...namba someni someni....
![]()
![]()
![]()
![]()
Hass tower kawatia kiwewe...mwakurupukwa na uhayawani eeeehMinara minara yaujanja ujanja apa hakuna lolote
hohoho,eti bado na jengo limeshaanza,keep hiding your head in the sand when things are rolling here..kawaida yenuBado sana hio weka miaka 5 tena mbele hio tunaita majaaaliwa inaeza kua au isiwe..... Ukitaka under construction project dar utakimbia hahahaha bora unyamaze tu