safi mkuu,,,,,ni hivi kiukweli dar ina maeneo megi kikubwa tulichokuwa tunajenga story na ichoboy ni kuhusu upigaji wa picha kwa aerial view kiukweli picha za hayo maeneo hatuna hata hizo picha ulizoziona nyingi ni video wameziscreen shoot ila real picture hatuna......ndiyo maana humu mkiomba aerial huwa hatutoi hiyo yote sababu maeneo mengi hatujayapiga picha kuna aerial view nyingi sana zipo vizuri kuna maeneo ya tegeta,mbezi,bunju,kigamboni namengineyo na nimakubwa sana yote yapo kimpangilio......
nilitaja hayo maeneo matatu ya mikocheni,oysterbay na masaki sababu........ninyi mmeyazoea hayo kuyajua kwa kuyataja ila kwa aerial view hayo maeneo hayana picha ambazo zipo quality na kuwapa taswira vizuri .....yote hayo maeneo hatujayatendea haki kwani hayana aerial view timirifu kwa upande wa picha