Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Office liko 22-23flrs hapo, la hotel liko 13flrs hapo so ni aparments tu ndio kwa sasa ziko 30flrs
Achana na huyo...he will only drag you to his level of thinking. Anahisi maumivu sana kusikia majengo yote yatakuwa 30 floors kwenda juu. How I wish they also upgrade the hotel tower from the initial 43 floors. Crossing my fingers
 
Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
mutasema mm namsingizia au??😀😀😀
5626AC97-06D5-4922-AD39-F44A8125681F.jpeg
 
Sema tu umezikubali zote. Moyo inakubali lakini ulimi inakataa. Hiyo Boma huwezi hata linganisha na Sarova Stanley ama hata Radison Blue. Hapo sijataja Kempinsky au Sankara. Iko chini ya hizo zote in terms of luxury
ni hilo tu hivyo vitu vingine ni vimeo
 
kasema majengo yote ya avic ni over 30 kwann nimsingizie 😀😀😀😀 kwan tunaushindani wakijinga hapa
Anayeleta ushindani w kijinga hapa ni wewe wala sio mtu mwingine. Aliposema zote zitakuwa 30 floors alimaanisha there's an upgrade hadi nikakuliza nini maana ya uograde ukashindwa kujibu. Kwa sasa, apartments which initially were supposed to reach 24 and 25 floors have already topped out at 30 floors. Hotel tower and office tower bado zinajengwa na kwa saa ziko 16th and 20th floors respectively if am not wrong. Nini ngumu hapo unashindwa kuelewa au ubishi na mashindano ndo unapenda?
 
nikamuuliza anauhakika majengo yote yatakua over 30floors au wewe kiswahili kigumu sana😀😀
 
mutasema mm namsingizia au??😀😀😀
View attachment 784030
I think ulikuwa unataka anasema 'zitakuwa over 30 floors' badala ya "majengo yote over 30 floors". All the same, he did good by including the sentence "thanx for the upgrade". it doesn't have to take you a lot of time and effort to comprehend what he was trying to say.
 
alaf watanzania hatuna desturi za kupiga mapicha yani hatuna zile sifa sifa
kweli kabisa inabidi tupate japo raia wakufanya hayo mambo wenye camera zenye uwezo na ubora.
wafanye kupiga aerial view ya mikocheni,masaki na oyster bay tu japo najua itakuwa ni kazi ngumu kuyamaliza hayo maeneo kulingana na ukubwa hawa wakenya wabaki midomo wazi maana hawaelewi....

hizo sehemu tatu zawatosha maana tukiongeza nyingine watalia....kiukweli hatuna picha kabisa za aerial view angali maeneo yapo kibao yakutosha
 
alaf wakenya wengi hamkumuelewa waziri wenu najib balala yule alikusudia na kusema tanzania inaichapa kenya kwenye utalii moja ya sababu ni kua tanzania ina brand new hotels nyingi sana na kenya kuna hoteli nyingi sana chakavu za miaka 40 iliopita na haya maneno analenga zaidi kwenye hotels zinazowagusa watalii moja kwa moja zikiwepo national parks,beaches area etc
 
I think ulikuwa unataka anasema 'zitakuwa over 30 floors' badala ya "majengo yote over 30 floors". All the same, he did good by including the sentence "thanx for the upgrade". it doesn't have to take you a lot of time and effort to comprehend what he was trying to say.
ok tufanye yameisha lets wait and watch the game mpaka mwisho 😀😀😀😀
 
kweli kabisa inabidi tupate japo raia wakufanya hayo mambo wenye camera zenye uwezo na ubora.
wafanye kupiga aerial view ya mikocheni,masaki na oyster bay tu japo najua itakuwa ni kazi ngumu kuyamaliza hayo maeneo kulingana na ukubwa hawa wakenya wabaki midomo wazi maana hawaelewi....

hizo sehemu tatu zawatosha maana tukiongeza nyingine watalia....kiukweli hatuna picha kabisa za aerial view angali maeneo yapo kibao yakutosha
yupo moiz hussein mtanzania ameshinda tuzo ya african photographer of the year 2018 iliofanyika ghana
jamaa ni hatari picha zake hazina utata
 
nikamuuliza anauhakika majengo yote yatakua over 30floors au wewe kiswahili kigumu sana😀😀
Sasa kama hana uhakika angeleta hiyo taarifa? Haya basi, mimi niko na uhakika: All the six towers will be over 30 floors. Apartments which were initially suposed to be below 30 floors have already reached 30 floors. The upgrade is real
 
yupo moiz hussein mtanzania ameshinda tuzo ya african photographer of the year 2018 iliofanyika ghana
jamaa ni hatari picha zake hazina utata
nampata......inabidi afanye hili tukio aisee apige picha hayo maeneo......

maana hawa raia hawaijui dar kabisa
 
Wewe ni bongolala kweli tena mwehu mkubwa sana! Hizo ni vitu vya kusifia kweli? Yani you could not see the satire in my statement! How pathetic!!!!
kwa hiyo we kukodi nyumba za wanaume wenzio unaona raha eeehh??huku bongo ni wewe na hela yako,unajenga nyumba yako unavyotaka,hakuna wa kukuuliza maswali..nyumba anajenga muzungu we mkenya mwenye nchi yako unakodi aahh kudadeki na huoni aibu kujisifia!!!
nb:Yale mabanda ya kibera ndo nyumba zinazomilikiwa na wakenya na hakuna mwenye ardhi pale siku uhuru akiamka vibaya atachoma vibanda vyote hivyo so sad!!
 
Back
Top Bottom