Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

dah nisamehe dada......nilikuwa najua hivyo ila wapi nilipokosea?dah nisamehe dada......nilikuwa najua hivyo ila wapi nilipokosea?
acha umama!!
dah nisamehe dada......nilikuwa najua hivyo ila wapi nilipokosea?dah nisamehe dada......nilikuwa najua hivyo ila wapi nilipokosea?dah nisamehe dada......nilikuwa najua hivyo ila wapi nilipokosea?
 
Sasa kama hana uhakika angeleta hiyo taarifa? Haya basi, mimi niko na uhakika: All the six towers will be over 30 floors. Apartments which were initially suposed to be below 30 floors have already reached 30 floors. The upgrade is real
lets wait and see acha maneno mengi 😀😀😀
zikiisha ntakushika tu usijali
 
kwa hiyo we kukodi nyumba za wanaume wenzio unaona raha eeehh??huku bongo ni wewe na hela yako,unajenga nyumba yako unavyotaka,hakuna wa kukuuliza maswali..nyumba anajenga muzungu we mkenya mwenye nchi yako unakodi aahh kudadeki na huoni aibu kujisifia!!!
nb:Yale mabanda ya kibera ndo nyumba zinazomilikiwa na wakenya na hakuna mwenye ardhi pale siku uhuru akiamka vibaya atachoma vibanda vyote hivyo so sad!!
umemuua......ila hata huko nairobi kwao zipo sema wanazificha zao ni vituko sana .....ila wakija hapa wanajifanya kama nairobi nzima inatumia estate.......kumbe hakuna lolote......

hivyo si nairobi yote inaestate hata wao tukiachana na kibera wana maeneo ya uswazi mengi zaidi
 
kweli kabisa inabidi tupate japo raia wakufanya hayo mambo wenye camera zenye uwezo na ubora.
wafanye kupiga aerial view ya mikocheni,masaki na oyster bay tu japo najua itakuwa ni kazi ngumu kuyamaliza hayo maeneo kulingana na ukubwa hawa wakenya wabaki midomo wazi maana hawaelewi....

hizo sehemu tatu zawatosha maana tukiongeza nyingine watalia....kiukweli hatuna picha kabisa za aerial view angali maeneo yapo kibao yakutosha
Lusematic, picha za anga za masaki, oysterbay na Mikocheni zimeletwa hapa si haba. Kwanza za oysterbay ziko mingi sana humu. Niko na swali lakini; Mbona mnapenda sana kuleta picha za hizi mitaa? nauliza hivyo kwa sababu hata wewe naona hizo hizo mitaa ndio pia umetaja. Kwani Dar haina mitaa mengine ya kuleta picha za anga? Kwa uelewa wangu, I understand that oysterbay is a rich neighborhood where only the monied can afford to live. Mbona hamleti picha za mitaa za kawaida mahali mwanchi wa kawaida anaishi? Hizo mitaa mnaleta ni sawa na rich neighborhoods za Nairobi kama Muthaiga, Runda nk ambazo hatuleti humu ndani sana
 
umemuua......ila hata huko nairobi kwao zipo sema wanazificha zao ni vituko sana .....ila wakija hapa wanajifanya kama nairobi nzima inatumia estate.......kumbe hakuna lolote......

hivyo si nairobi yote inaestate hata wao tukiachana na kibera wana maeneo ya uswazi mengi zaidi
wala usiwe na wasi mkuu nimeenda sana nairobi, naijua vizuri kabisa...
 
hua wanafkiri sisi wageni sana nairobi yani huo mjii ni mdogo sana alaf umejikusanya sehemu moja hata congestion kwao ni kubwa sana
 
nampata......inabidi afanye hili tukio aisee apige picha hayo maeneo......

maana hawa raia hawaijui dar kabisa
Dar tunaijua sana, thanks to Google earth. Sio lazima tungoje huyo jamaa wenu apige picha za estates mbili au tatu za matajiri kisha mjaze hapa. I only need to go to Google earth to see Dar in its nakedness. Nyngi mtatudanganta lakini Google earth haitawahi
 
the only modern stadium in east and central africa
and one of the expensive stadium in africa
116B62C5-CA38-4ADD-B329-07C411BFEA76.jpeg

2BF1F7A9-CDD9-44DC-989F-A60E57B3BAE9.jpeg
8E0FD95F-5219-42F6-9261-39C6D49831E2.jpeg
 
Dar tunaijua sana, thanks to Google earth. Sio lazima tungoje huyo jamaa wenu apige picha za estates mbili au tatu za matajiri kisha mjaze hapa. I only need to go to Google earth to see Dar in its nakedness. Nyngi mtatudanganta lakini Google earth haitawahi
unaijua wapi wewe??? lini umefika dar??? ww huijui dar ndio maana siku zote nakwambia dar huijui na umeanza kuijua hapa jamii forum tena kwenye picha tu
 
Dar tunaijua sana, thanks to Google earth. Sio lazima tungoje huyo jamaa wenu apige picha za estates mbili au tatu za matajiri kisha mjaze hapa. I only need to go to Google earth to see Dar in its nakedness. Nyngi mtatudanganta lakini Google earth haitawahi
basi google earth ioneshe neno slum in dar ukipata nitag hehehhe hapo hukubali 😀😀😀😀
 
Lusematic, picha za anga za masaki, oysterbay na Mikocheni zimeletwa hapa si haba. Kwanza za oysterbay ziko mingi sana humu. Niko na swali lakini; Mbona mnapenda sana kuleta picha za hizi mitaa? nauliza hivyo kwa sababu hata wewe naona hizo hizo mitaa ndio pia umetaja. Kwani Dar haina mitaa mengine ya kuleta picha za anga? Kwa uelewa wangu, I understand that oysterbay is a rich neighborhood where only the monied can afford to live. Mbona hamleti picha za mitaa za kawaida mahali mwanchi wa kawaida anaishi? Hizo mitaa mnaleta ni sawa na rich neighborhoods za Nairobi kama Muthaiga, Runda nk ambazo hatuleti humu ndani sana
safi mkuu,,,,,ni hivi kiukweli dar ina maeneo megi kikubwa tulichokuwa tunajenga story na ichoboy ni kuhusu upigaji wa picha kwa aerial view kiukweli picha za hayo maeneo hatuna hata hizo picha ulizoziona nyingi ni video wameziscreen shoot ila real picture hatuna......ndiyo maana humu mkiomba aerial huwa hatutoi hiyo yote sababu maeneo mengi hatujayapiga picha kuna aerial view nyingi sana zipo vizuri kuna maeneo ya tegeta,mbezi,bunju,kigamboni namengineyo na nimakubwa sana yote yapo kimpangilio......

nilitaja hayo maeneo matatu ya mikocheni,oysterbay na masaki sababu........ninyi mmeyazoea hayo kuyajua kwa kuyataja ila kwa aerial view hayo maeneo hayana picha ambazo zipo quality na kuwapa taswira vizuri .....yote hayo maeneo hatujayatendea haki kwani hayana aerial view timirifu kwa upande wa picha
 
hua wanafkiri sisi wageni sana nairobi yani huo mjii ni mdogo sana alaf umejikusanya sehemu moja hata congestion kwao ni kubwa sana
Ukubwa au udogo wa mji hauonyeshi maendeleo yake. Dar ni kubwa sana kwa New York lakini it's a shithole in the face of NY. Don't be overexcited about ukubwa wa Dar wakati iko ndogo sana kimaendeleo compared with the "small" Nairobi. Kuna miji midogo sana duniani kushinda hata Nairobi but they are world-class cities
 
tofaut ya dar na newyork ni kua dar and nairobi are developing city while newyork is developed city tofautisha hapo, shuleni ulienda kufanya nn

hapa tunaongelea developing city hehehe😀😀
ukubwa wa dar chukua nairobi mara tatu😛
 
Ukubwa au udogo wa mji hauonyeshi maendeleo yake. Dar ni kubwa sana kwa New York lakini it's a shithole in the face of NY. Don't be overexcited about ukubwa wa Dar wakati iko ndogo sana kimaendeleo compared with the "small" Nairobi. Kuna miji midogo sana duniani kushinda hata Nairobi but they are world-class cities
na siku zote nakufundisha hapa dar is the fastest developing city in africa yani maendeleo yalioko ndani ya dar ni makubwa kuliko nairobi mara tatu na ukubwa wa dar ni mara tatu ya nairobi, tatizo lako kukubaliana na ukweli hutaki 😀😀😀😀

na tatizo lenu wakenya nikujifananisha na nchi za america or europe ndugu yangu america hawaongelei msaada wa chakua au njaa 😛😛😛 wale wako mbele miaka 300
 
Ukubwa au udogo wa mji hauonyeshi maendeleo yake. Dar ni kubwa sana kwa New York lakini it's a shithole in the face of NY. Don't be overexcited about ukubwa wa Dar wakati iko ndogo sana kimaendeleo compared with the "small" Nairobi. Kuna miji midogo sana duniani kushinda hata Nairobi but they are world-class cities
wale ni developed city dah yani unaniabisha kabisa leo
wale hawaongelei upuuzi huu😀😀😀
3F34FC96-3D09-46C3-9E74-488BF315F7AE.jpeg

wanaongelea habari ya 2030 waende mars heheh
 
Back
Top Bottom