Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

katika picha zoote ulizokuwa umezituma hii ndiyo kidogo ipo gud nimeipenda chukus 5
Sema tu umezikubali zote. Moyo inakubali lakini ulimi inakataa. Hiyo Boma huwezi hata linganisha na Sarova Stanley ama hata Radison Blue. Hapo sijataja Kempinsky au Sankara. Iko chini ya hizo zote in terms of luxury
 
upanga baby
50E35DDE-E06D-4611-BB1A-70F3902256DD.jpeg
 
Sema tu umezikubali zote. Moyo inakubali lakini ulimi inakataa. Hiyo Boma huwezi hata linganisha na Sarova Stanley ama hata Radison Blue. Hapo sijataja Kempinsky au Sankara. Iko chini ya hizo zote in terms of luxury
hii wewe huikubali sea cliff
3020788E-1CAB-4B69-ADD6-62EDF4B6C2B6.jpeg
 
so aliposema zote 30 alikua na maana gani??😀
and mimi kuna kitu hapa kinanitatiza
View attachment 783947
Wachana na habari za sijui 2016 picha nishaa kuekea ya izo aparment block zoom alafu uhesabu floors saa zingine unapenda kubishana kijinga, initial plan ya apartments ilikua 24,24,25,28 sasa ivi lile jengo fupi ambalo lime topout liko 30-31floors na mengine yanaendelea kupanda. .. .saa zingine si poa kubishana kijinga
 
yani leo nimecheka sana kwamba avic majengo yote over 30 basi wacha tusubiri😀😀😀
 
mijadala mingine ni ya kumaliza fasta tu. nawashangaa mnavyorushiana maneno!!
Ukitafuta hoteli za nyota tano kati ya hii miji, fasta unapata jibu hadi na bei.

ingia hapa
Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotels
andika Nairobi (alaf ukalilie chooni)

Ingia hapa
Luxury Hotels Guides | 5 Star Best Luxury Hotels
andika Dar es salaam (jibu kaa nalo moyoni)
nairobi walker ni noma kazipeperusha hotel zote za kenya nakuzipa 5* makofi kwake jamani

19 five star hotels in nairobi
 
so aliposema majengo yote ni over 30 alikua na maana gani??😀😀😀
Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
 
Wacha kumponda pengine alikuwa anamaanisha juu la ofisi linafaa kufika initial 42 flrs na la hoteli 35flrs yote majengo sita Yatakua over 35flrs.
kasema majengo yote ya avic ni over 30 kwann nimsingizie 😀😀😀😀 kwan tunaushindani wakijinga hapa
 
Back
Top Bottom