Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kingine cha Kuwatia Machungu hicho. Hapa 5* tuu.😀😀😀😀
the-sarova-stanley-hotel-at-the-junction-of-kenyatta-avenue-and-kimathi-AFRF3W.jpg
Ramada-Encore-Dar-Es-Salaam-photos-Exterior_0.JPEG
 
Kitu kama hii Dar wanakiweza kweli?😀😀😀😀

Nairobi mambo yetu ni 5* tuu.😀😀😀

DusitD2 Hotel
DusitD2-Final1-1.jpg

naona umeamua kuturudisha kwenye mjadala wa hotels ambao tuliujadili sana siku za nyuma na baadae kuja kuhitimishwa na waziri wenyu anayeshughulika na masuala ya utalii.

kiufupi kwenye ma-hotels mazuri, kenya mpo nyuma sana. hotels zenyu nyingi ni kama museums.

IMG_20180522_120525.jpg
 
Kingine cha Kuwatia Machungu hicho. Hapa 5* tuu.😀😀😀😀
the-sarova-stanley-hotel-at-the-junction-of-kenyatta-avenue-and-kimathi-AFRF3W.jpg

naona umeamua kuturudisha kwenye mjadala wa hotels ambao tuliujadili sana siku za nyuma na baadae kuja kuhitimishwa na waziri wenyu anayeshughulika na masuala ya utalii.

kiufupi kwenye ma-hotels mazuri, kenya mpo nyuma sana. hotels zenyu nyingi ni kama museums.

View attachment 783499
Nachofanya nikumuangalia tu huyu engineer fake nakucheka. Hata Mwasit na El Matodar walikuja na moto zaidi ya huu.
 
naona umeamua kuturudisha kwenye mjadala wa hotels ambao tuliujadili sana siku za nyuma na baadae kuja kuhitimishwa na waziri wenyu anayeshughulika na masuala ya utalii.

kiufupi kwenye ma-hotels mazuri, kenya mpo nyuma sana. hotels zenyu nyingi ni kama museums.

View attachment 783499
Wewe ndiye uko nyuma brathee. Dar tulishaizika jana.😀😀😀😀

5* Hotels in Dar and Nairobi

Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel
 
Naona watu wananiwekea Guest House. Hapa ni 5* tuu. Yaani Dar zipo tatu
1. Kilimanjaro
2. Serena
3. Sea Cliff

Alafu mambo kwisha.😀😀😀😀
 
Wewe ndiye uko nyuma brathee. Dar tulishaizika jana.😀😀😀😀

5* Hotels in Dar and Nairobi

Dar
1. Hyatt Regency
2. Dar Serena
3. Sea Cliff

Nairobi
1. The Nairobi Safari Club
2. Sarova Stanley
3. Fairmont Norfolk
4. Villa Rosa Kempinski
5. Sankara
6. Nairobi Serena
7. Azure
8. Windsor
9. Laico Regency
10. dusitD2
11. Tribe
12. Palacina
13. Radisson Blue
14. Hemmingways
15. Hilton
16. House of Waine
17. Concord
18. Panari
19. Safari Park Hotel
Nivigumu kuubali ukweli kuwa kwenye hotel tunawazidi mbali sana. Huwezi kupingana na Balala mwenye ajira hapo Kenya alafu msomi. Wewe hiyo Itel ndo inakupa kibuli😀😀
 
Major Hotels that opened in Nairobi within the last 5 years
1. Radisson Blue
2. Villa Rosa Kempinski
3. Sankara
4. the BOMA
5. Hemmingways
6. Azure
7. DusitD2

6 of them are 5*

Yaani within the last 5 years Nairobi imefungua more 5* Hotels than the whole history of Dar es Salaam alafu mwengine anatuambia Nairobi ina hotels nzee.😀😀😀
 
hiyo ni porojo tu. haina madhara yoyote.
New Major Hotels that opened in Nairobi within the last 5 years

Hapo hakuna hotels. Yani nimeona vi gesti house mnasema 5 star hotels Kama kawaida yenu wazee wakupika data.
 
Back
Top Bottom