Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nirudi huko nyuma kwote kwa sababu ya umbumbumbu wako. Mwanzo wacha kujichanganya mwenyewe. Umesema kwanza yeyote anaweza kubadilisha rating ya hoteli. Nikakuonyesha jinsi mambo yalivyo kwamba kuna rating ya customer na professional rating. Sahii unakuja hapa na mambo ya local guides wakati mwanzo umesema yeyote anaweza badilisha. You can't fool people kijana. Thing is, Dar hamna mahoteli. Kubali upumzike.
Kijana hapa ninakupatia somo. Ninauhakika unajifunza mengi sana. Tukiwa tunakufndisha usipige pige kelele. Jana niliwauliza swali dogo tu mkaishia mitini. Niliwauliza ni nani anayefanya Hotel fulani kuwa 5* class? Mlikimbia bila hata aibu. Nakuona tena umekuja na nyimbo hizo. Maadamu nimekupatia elimu inatosha kilichobaki ni ubishi wa kipumbavu tu.

Nimekueleza hayo yanafanywa na google local guid. Anaweza akaweka class ya hotel kulingana na level yake. Lakini hizo rates zenye manyota nyota hapo any person can do that kijana.
Kwikwikwikwi. Kichwa kigumu sana walimu wako walikuwa na shida.
Tuendelee sasa maana umepata somo.
 
Yaani mimi nakueleza jambo alafu unabadilisha eti ni wewe uliyenieleza.😀😀😀😀😀
Nilikwambia wewe unayejiita Computer expert jifunze kutumia Computer. Kwa Google guide kuna customer rating (those stars) na professional rating ya Hotel (imeandikwa hapo chini ya customer rating). Hiyo professional rating ndio tunayoangalia. Customer rating ni mtu binafsi. Angalia hapa.
View attachment 783543

Cha kushangaza ni wewe uliyekua ukilia humu eti tuangalie google kuconfirm rating ya Hoteli, ulipoona Google imetoa ukweli sahii unatapatapa ukisema eti haiko valid. Leo utalia tuu.😀😀😀
 
Imepenya hiyo kwikwikwikwi.
wapi nimeweka hiyo hotel leo? Maana hata wewe ulizo weka jana umeweka leo.

Ndio hii hapa. Nimekwambia Dar hakuna hoteli brathee.

75150400.jpg
 
Yaani mimi nakueleza jambo alafu unabadilisha eti ni wewe uliyenieleza.😀😀😀😀😀
Tatizo vijana wa kenya maneno meeengi.
Nirudi huko nyuma kwote kwa sababu ya umbumbumbu wako. Mwanzo wacha kujichanganya mwenyewe. Umesema kwanza yeyote anaweza kubadilisha rating ya hoteli. Nikakuonyesha jinsi mambo yalivyo kwamba kuna rating ya customer na professional rating. Sahii unakuja hapa na mambo ya local guides wakati mwanzo umesema yeyote anaweza badilisha. You can't fool people kijana. Thing is, Dar hamna mahoteli. Kubali upumzike.

Sasa hapa unalialia nini sasa? Nimekuuliza maswali ya maana unaaza kulia lia.

kwamba kuna rating ya customer
Sasa hii rating ya customer ni nini?

professional rating.
Na hii ni nini?

Usilete maneno mengi hapa.
Halafu professional rating(Professional ya kitu gani? nani anayetoa hiyo professional).

Ukijibu maswali hayo twende kazi.
 
Nilikwambia wewe unayejiita Computer expert jifunze kutumia Computer. Kwa Google guide kuna customer rating (those stars) na professional rating ya Hotel (imeandikwa hapo chini ya customer rating). Hiyo professional rating ndio tunayoangalia. Customer rating ni mtu binafsi. Angalia hapa.
View attachment 783543

Cha kushangaza ni wewe uliyekua ukilia humu eti tuangalie google kuconfirm rating ya Hoteli, ulipoona Google imetoa ukweli sahii unatapatapa ukisema eti haiko valid. Leo utalia tuu.😀😀😀
we jamaa unazidi kujiaibisha tu hapa...eti rating...!dah walah! wakenya ni washamba..
 
Tatizo vijana wa kenya maneno meeengi.

Sasa hapa unalialia nini sasa? Nimekuuliza maswali ya maana unaaza kulia lia.

Sasa hii rating ya customer ni nini?

Na hii ni nini?

Usilete maneno mengi hapa.
Halafu professional rating(Professional ya kitu gani? nani anayetoa hiyo professional).

Ukijibu maswali hayo twende kazi.

Kijana, nakwambia the professional rating is done by professionals - neither you nor I can do that unless we are professionals hired by a professional body like Forbes Travel Guide. Google gets their ratings from such bodies. (and if you think you can change that rating please badilisha ya hoteli moja hapo Dar es Salaam iwe 5* alafu uje unionyeshe.

Then their is the review ratings - that can be done by anybody. What you call Google Local Guide is actually just anybody (That is what I call customer rating because it's mainly customers who rate it). Anybody can sign up for that thing now and review a hotel. Their review is indicated by those orange stars you see. Understood? Wewe kijana umeenda shule kweli? Saa zingine mnajifanyanga mnajua kumba hamna kitu mnachoelewa.
rr.JPG
 
New Africa Hotel - Dar es salaam

42966221.jpg

exterior.jpg

sawasdee-authentic-thai.jpg

lunch-buffet-at-the-bandari.jpg

42966274.jpg

HI220093155.jpg

36a91a2143.jpg
 
Kijana, nakwambia the professional rating is done by professionals - neither you nor I can do that unless we are professionals hired by a professional body like Forbes Travel Guide. Google gets their ratings from such bodies. (and if you think you can change that rating please badilisha ya hoteli moja hapo Dar es Salaam iwe 5* alafu uje unionyeshe.

Then their is the review ratings - that can be done by anybody. What you call Google Local Guide is actually just anybody. Anybody can sign up for that thing now and review a hotel. Their review is indicated by those orange stars you see. Understood? Wewe kijana umeenda shule kweli? Saa zingine mnajifanyanga mnajua kumba hamna kitu mnachoelewa.
View attachment 783576
Stupid Kenyan.
Hiyo Profesional rating nani anaweka?
Kijana hebu acha kujiaibisha. Hiyo inaitwa Hotel Class as far as google concerned.
Nimekueleza utajiaibisha bure. Nenda shule kwanza siyo kukurupuka toka kibera na kuja kwenye mitandao. Mitandao inawenyewe kijana na wenyewe ni sisi.

Tuendelee tu n battle maana ninaweza kukuaibisha humu. Ndiyo maana jana ulianzisha thread, kama mtoto vile. Nikakupotezea tu maana hujielewi. Lakini leo nimeamua nikupatie elimu.

Unaona hapa?
upload_2018-5-22_14-4-53.png
 
Hiyo hoteli huwezi hata nunua hata chakula. Nipigie picha hapo ksh 1000 kama unayo hapo. Nitajua unaweza pata hapo chakula😀😀
siwezi nunua chakula huko coz the best meal inaweza patikana kwa hoteli hiyo ni chapati na chai.
 
Stupid Kenyan.
Hiyo Profesional rating nani anaweka?
Kijana hebu acha kujiaibisha. Hiyo inaitwa Hotel Class as far as google concerned.
Nimekueleza utajiaibisha bure. Nenda shule kwanza siyo kukurupuka toka kibera na kuja kwenye mitandao. Mitandao inawenyewe kijana na wenyewe ni sisi.

Tuendelee tu n battle maana ninaweza kukuaibisha humu. Ndiyo maana jana ulianzisha thread, kama mtoto vile. Nikakupotezea tu maana hujielewi. Lakini leo nimeamua nikupatie elimu.

Unaona hapa?
View attachment 783580

Professional Rating is placed by Google Employees who get the figure from rating bodies or somebody who signs up and proves the source of his data is a professional body. Ni wewe unajiabisha. Unajifanya unaelewa mabo kumbe hakuna kitu unaelewa. Eti unadhani Local Google Guides and any ordinary customer are different things.
 
Professional Rating is placed by Google Employees who get the figure from rating bodies. Ni wewe unajiabisha. Unajifanya unaelewa mabo kumbe hakuna kitu unaelewa. Eti unadhani Local Google Guides and any ordinary customer are different things.
Kwkwikwikwikwi
Professional Rating is placed by Google Employees
sometimes kama hujui kitu kukubali ufundishwe siyo mbaya.
Yaani google anaajili watu kwaajili ya kuajili ya profeional rating ya hotel? Do you listen yourself!!?
Je, hiyo ni kazi ya google kufanya hivyo!?
Okay sorry hao employees wamesomea nini na wanatumia kigezo kipi kuweka hizo unazoziita professional rating.

Acha kujiaibisha. Ningekuwa wewe ningekaa kimya.
Halafu kile unacho kililia kinaiywa Hotel Class kijana.
 
5* Hotel hiyo. Najua hamjazoea mambo kama haya huko Dar. Vihoteli mnavyoita 5* ndio hivi hapa.😀😀😀😀
Hii nayo ilinichekesha walai. hehehehe...halafu there was another inakaa an aprtment block kule maeneo ya eastlands. Hizo mbili plus ile hong kong zilinichekesha sana
 
Professional Rating is placed by Google Employees who get the figure from rating bodies or somebody who signs up and proves the source of his data is a professional body. Ni wewe unajiabisha. Unajifanya unaelewa mabo kumbe hakuna kitu unaelewa. Eti unadhani Local Google Guides and any ordinary customer are different things.
upload_2018-5-22_14-25-38.png
 
Ati hii tena ni 5*. Hii yenye naona mabati imepiga kutu?😀😀😀😀😀
filename-p1010439-small.jpg
Enyewe look at that ka small window next to the hotel logo with green and white colors. What's that ugly window meant to do in a 5* hotel? hehehe Mabati zimebondwa halafu imerust. Kweli hii naona ni 5*
 
Kwkwikwikwikwi

sometimes kama hujui kitu kukubali ufundishwe siyo mbaya.
Yaani google anaajili watu kwaajili ya kuajili ya profeional rating ya hotel? Do you listen yourself!!?
Je, hiyo ni kazi ya google kufanya hivyo!?
Okay sorry hao employees wamesomea nini na wanatumia kigezo kipi kuweka hizo unazoziita professional rating.

Acha kujiaibisha. Ningekuwa wewe ningekaa kimya.
Halafu kile unacho kililia kinaiywa Hotel Class kijana.
Dude, google doesn't employ people JUST FOR THE SAKE of professional rating of Hotels. You're not only stupid but also uneducated with a poor grasp of English. Reread my post and understand. Wee boya unayedhani unaweza badilisha Hotel Rating ya hoteli kwenye google.
 
Back
Top Bottom