kumbe zanzibar unaiheshimu heheh vzr sanaππPengine Zanzibar ndio iko mbele ya nairobi na ni kwa vile ni island city .
Zanzibar tutaipea Malindi. Wasijali.ππPengine Zanzibar ndio iko mbele ya nairobi na ni kwa vile ni island city .
tuanze kusanya malindi mombasa na lamu ilete kwa zanzibar tuone kama hukukojoa wima weweππZanzibar tutaipea Malindi. Wasijali.ππ
Zanzibar iko poa.kumbe zanzibar unaiheshimu heheh vzr sanaππ
swali zuri kwanza waanzie hapoHow many 5 star hotels in Nairobi?
umechinja mtu[emoji2] [emoji2]Kijana kuwa 5 star siyo ghorofa la duara hilo. Ni requirements na services zinaifanya hotel kuwa 5 star. Ondoa ushamba wa kibera kijana.
Hao tunawangoja 2022 waende nyumbani aibu kwa taifa letuπππwapo kula pesa za wakenyaππ
mpaka 2022 watakua washakula pess ngap za bure πππππ wkati ww unaishi kariobangi huna hata ramani ya kupata ardhi wala kaziHao tunawangoja 2022 waende nyumbani aibu kwa taifa letuπππ
Ardhi niko nayo na nimeandika vijana saba kazi, mimi nimejiajiri sio kama wewe umeandikwa na ccmπππmpaka 2022 watakua washakula pess ngap za bure πππππ wkati ww unaishi kariobangi huna hata ramani ya kupata ardhi wala kazi
Mnaubavu ?? 2022 Chuma Ruto anaisimamia kampeni. 2022 Ruto na team yake wanaingia ikulu mapema.Hao tunawangoja 2022 waende nyumbani aibu kwa taifa letuπππ
Tanzania hatupendi kukaa kwenye matundu vya njiwa.Leta picha moja ya Dar, yenye inaonyesha organized housing. (aerial view)
And don't bring the fancy estates.
pwahahahahahahaa.........Hapana, 5 star ndio hii.ππππ
heheh ardhi ya kwenye ndotoππππArdhi niko nayo na nimeandika vijana saba kazi, mimi nimejiajiri sio kama wewe umeandikwa na ccmπππ
Naona ANAEL ametembezwa Nairobi [emoji23] [emoji23] [emoji23]watakuambia mega city.....hebu check mazingira ya nairobi yalivyo machafu halafu...mijitu inarandaranda hovyo town for nothing
[emoji2] [emoji2]
jobless