Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hong Kong Hotel Dar Es Salaam
20171014-173723-largejpg.jpg

83516697.jpg

hong-kong-hotel-26369-a44baf0002de31da466194fce4d1c0e0d8e2f2e5.jpeg
Boss, post hoteli bwana. Hii ni nini? Rais wa nchi jirani akija Tanzania anaweza lala hapo?😀😀😀😀

The Sarova Stanley
sarova-stanley-night.jpg
pool-deck-evening-banner_pool-deck-restaurant.jpg
sarova-stanley2.jpg
 
Kila mara naskianga eti Dar kuna hoteli. Leo nimeamini hata Nakuru iko mbele kushinda Dar sekta ya hoteli. Kitu ya maana hapo ni Kilimanjaro na Ramada na Serena. Zingine uchafu.😀😀😀
 
Maneno mengi sana. Vihoyel vyenyewe kama motel. Hahahaha!! Nairobi Old Desgins
Mnachekesha kabisa vijana. Ngoja leo niwakomeshe. Kwikwikwikwi
Fairview is Royalty. Wewe wacha kutupostia brothels za katikati mwa jiji ukiita hoteli. Sasa hiyo Hong Kong Hotel ndio nini hiyo?
 
Kila mara naskianga eti Dar kuna hoteli. Leo nimeamini hata Nakuru iko mbele kushinda Dar sekta ya hoteli. Kitu ya maana hapo ni Kilimanjaro na Ramada na Serena. Zingine uchafu.😀😀😀
Mbona ukitupia kapicha kamoja unaanza kulia lia. subiri dawa ikuingie. Nakuona unatuwekea Motel hapa sisi tupo kimya tu. Wewe maneno mengi kweli kama mgonjwa ma mapunye. Kwikwikwikwi
 
Fairview is Royalty. Wewe wacha kutopostia brothels za katikati mwa jiji ukiita hoteli. Sasa hiyo Hong Kong Hotel ndio nini hiyo?
Acha kulia lia kijana. Umeishiwa nini. Maana maneno yamezidi vitendo. Kwikwikwi. Waambie wenzako wakusaidie, niytakuua.
 
Mbona ukitupia kapicha kamoja unaanza kulia lia. subiri dawa ikuingie. Nakuona unatuwekea Motel hapa sisi tupo kimya tu. Wewe maneno mengi kweli kama mgonjwa ma mapunye. Kwikwikwikwi
Motel gani nimewawekea. Wewe weka picha za hoteli za maana kama huna kubali. Sasa hiyo Hong Kong na Tanzanite suites ni Hoteli? Nakupa vitu kama Tribe, Laico, Safari Park na wewe unanipa brothel ya Kariakoo? This is such a waste
 
So kwa akili yako hii pia ni 5-star hotel? hii inafana na hoteli fulani kwa jina creadex kule kwetu Migori
Jamaa anapost vitu zinakaa brothel za River Road anaita hoteli. Eti anataka kuzilinganisha na Sarova Stanley. Leo ndio nimeamini Dar hakuna hoteli.😀😀😀😀
 
Protea Hotel Dar es Salaam Courtyard
protea-hotel-courtyard.jpg

exterior.jpg

protea-hotel-courtyard.jpg

protea-hotel-courtyard.jpg
 
Jamaa anapost vitu zinakaa brothel za River Road anaita hoteli. Eti anataka kuzilinganisha na Sarova Stanley. Leo ndio nimeamini Dar hakuna hoteli.😀😀😀😀
Kama mmeishiwa semeni vijana naona malalamiko yamezidi. Au niache? Ngoja nitupie kama ishirini hivi halafu naacha. Sawa vijana maana mnalia sana.
 
Kama mmeishiwa semeni vijana naona malalamiko yamezidi. Au niache? Ngoja nitupie kama ishirini hivi halafu naacha. Sawa vijana maana mnalia sana.
Story nyingi ni hulka ya wababaishaji.

Wape dose kutwa mara 16.
 
Kama mmeishiwa semeni vijana naona malalamiko yamezidi. Au niache? Ngoja nitupie kama ishirini hivi halafu naacha. Sawa vijana maana mnalia sana.
Kijana, acha siasa post Hoteli ya maana. Nakupa hoteli za maana unapost vibanda? Wewe ndiye umeishiwa.
 
Jamaa anapost vitu zinakaa brothel za River Road anaita hoteli. Eti anataka kuzilinganisha na Sarova Stanley. Leo ndio nimeamini Dar hakuna hoteli.😀😀😀😀
Hawa wanaweza tu vita za mdomo. Zinaitwa vita baridi. Ukiwaita kwenye uwanja wa vita utaona vituko. Sasa wanaleta hadi furnished suites na kuziita hoteli
 
Harbour View Suites Dar es Salaam
ean-528360-1085665_9_b-image.jpg

photo0jpg.jpg

harbour-view-suites.jpg

filename-img-6080-jpg.jpg
 
Tiffany Diamond Hotel Dar es Salaam
tiffany-diamond-hotel.jpg

tiffany-diamond-hotel.jpg

tiffany-diamond-hotel.jpg
 
Back
Top Bottom