Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na kitu umeniandikia hata haimake sense, "Tra" ni nini kwa kiswahili😀😀😀
Haina maana ni sawa na uandike FIAT kiswahili inatamkwa FIATI.

Ukiniuliza nini maana ya FIATI nitakwambia hilo ni jina la kampuni ya kuunda malori.
 
That render building u posted belongs to Somali firm (Has Petroleum),
Kenya and Kenyans are poor as we can realize in unemployment and hunger and Kibera slums.
Wageni wazungu na wahindi na wasomali na familia ya Kenyatta na baadhi ya wanasiasa wakikuyu na wakalenjini ambao ni less than 5% ndio wanamiliki 90% ya uchumi wa Kenya while 95% of Kenyans including you mko mmejazana kibera mnafly vinyesi kwenye plastic bags, that's a true meaning of capitalism u embrace.
And besides, those powerful capitalist economies how far have they helped Kenya apart from milking Kenyans, grabbing your land, making you puppets to other African countries and using Kenya to counter alshabaab (A terrorist group funded by big capitalist nations) and eventually selling to your poor kdf more overpriced 5th grade weapons while making more money out of you poor Kenyans,
Wakati huo huo mkihitaji msaada wa kujengewa Barabara, reli au mkopo mnamgeukia mjamaa mchina,
Wtf.
KENYA KILA. MTU NI HUSTLER HATA KAMA UNAISHI RUNDA AU KIBERA WHITE OR BLACK WE DONT WORSHIP WHITE PEOPLE IN THE NAME OF UJAMAA HATUPENDI UZEMBE SISI

Life in Runda is good, almost heavenly, but that did not stop Italian girl Lucia Alessandra Murotto from taking up a job as a makanga in Kitengela.

qda3zql305xedg579b14f15e3e8.jpg
 
Haina maana ni sawa na uandike FIAT kiswahili inatamkwa FIATI.

Ukiniuliza nini maana ya FIATI nitakwambia hilo ni jina la kampuni ya kuunda malori.
Umenifurahisha leo😀😀😀... You should be a comedian
 
Tunaenda hivyo kama ilivyokuwa katika music industry mpaka sasa hammjui imekuwaje.

Eti akothee naye ni music icon in Kenya.poa jiandae kisaikolojia huko ktk mpira.
yaani hata simuelewagi yule mdada wakikenya yaani anaforce game
 
hizo tunawachia toddler humu...we dont participate in mediocre tournaments
TZ ipo so talented.......chief sema kwenye huu mpira wa miguu hatujaamua tu kutilia mkazo laiti tukitilia mkazo .....hata timu kongwe ya taifa ingekuwa inasumbua sana kidunia
 
Kwikwikwi
Show me tallest building iliyopo kenya inazidi
TPA Tower. Weka picha hahahahaha!!
27406176451_cebd395761_b.jpg
Wacha ignorance buda. Kwa tallest buildings, toka huko haraka. Huko hakuna debate. Kila mtu anajua nani anazo buildings ndefu.Uliza ndugu yako ichoboy atakueleza.
 
Wewe unaongea vibaya na hamko ligi ya Kenya. Si mngoje mfike middle income ndio muanze kuongea matope.
Hatujawahi kuwaza kuwa ligi moja na Kenya,haiwezi kuwa mfano kwetu kwa chochote.

Labda kuapisha maraisi wawili kwa wakati mmoja.
 
Wacha ignorance buda. Kwa tallest buildings, toka huko haraka. Huko hakuna debate. Kila mtu anajua nani anazo buildings ndefu.Uliza ndugu yako ichoboy atakueleza.
Weka picha
 
buda naona umeandika maneno mengi sana.

let use citizen tv mobile app as a case study.the app was released in 2015,mpaka leo downloads hazijafika one million.

app ya azam imekuwa released last year, download imefika one million.utaniambiaje kenya mnaongoza kwa matumizi ya internet ilhali app zenyu zina download chache?.

nijibu bila emotions pls.
So kigezo cha matumizi ya internet ni how many t.v apps are downloaded? Go back to class one.
 
Back
Top Bottom