Lucky Katama
Member
- Mar 1, 2018
- 83
- 63
Tungelikosea plan hiyo barabara ingekua imefungwa by now.Haha kwahyo mlikosea plan au ndio u kenge wenu unajidhihirisha...MoroGoro road ya Dsm ni worth more japo Ina lane 4 plus 2 za BRT ...unajenga highway kifala sahii mnataman BRT ambayo ni gharama sana kujenga kuliko iyo highway
