joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Muhimu ni kutafuta data zinazoonyesha faida za kutumia diesel vs electric trains katika kusafirisha mizigo, sio kutafuta nchi zipi zinazotumia diesel trains, kwasababu trains nyingi za diesel bado zipo, kwahiyo sio busara kutozitumia, wanachofanya wanaendelea kuzitumia lakini slowly wana phase out diesel engines.Unajua mimi napenda kuargue nikitumia reports na data. Nitakuletea evidence kwamba South Africa wanatumia diesel kusafirisha mizigo. Kwa upande wa U.S.A pia wao kuna baadhi ya train bado wanatumia diesel ingawa zingine zinatumia electric. Leo jioni nitapost na kukutag. Kwa sasa naenda darasani.
Electric locomotives zina high capacity, high speed, low maintance costs and durability ukilinganisha na diesel locomotives, hakuna nchi yoyote duniani ambayo kwa sasa hivi inafikiria kujenga reli inayotumia diesel, ila zipo zilizojengwa miaka ya zamani ndizo ambazo zinaendelea kutumika, sio kwasababu ni bora kuliko electric, ila kwasababu hawawezi kuziacha kwasababu bado zinatumika na kuzibadilisha ni gharama sana.