Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upload_2018-4-28_12-48-9.png
 
enyewe kiswahili enyewe unasema ni mbaya sana

iko nafanya mimi nijisikie kutapika..
eti A380 jkia hutua mingi thubutuuu weka picha hata moja tuione..nahisi wewe utakua huishi Nairobi hiyo JKIA yenyewe unaisikia tu!!!utakuwa unaishi mpakani mwa Kenya na Somalia wewe
Hahaha..... Kwani sahizi Niko wapi... Nkt!! Najua dream yako ni kufika Nai keep dreaming buda... Hii Nairobi SIO ya mamayako bana....
 



i'm addicted to good music.
nimeona hii ngoma ya mgenge gabu kwa wasafi tv ikanipa ma good vibes nikaona si vibaya niki share hapa.

huu ndio mziki wakenya wanapaswa kuimba.
 
Back
Top Bottom