Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,290
- 3,647
unasema hivo kujifurahisha au???? 😀bro tandale hakuna nyumba ya udongo au nyumba ya mabati nyumba za tandale ni za block 😀😀😀
ila wakenya munaishi kimaigizo
90% of dar is slum imejaa nyumba za mabati 😀😀😀 uswahilini yaani..... mabati yameshika kutu mpaka basi... alafu nyumba za udongo ndio usiseme... tumieni tiles kwa roof
kisha muwache kutumia kuni kwa kupikia maana ule moshi sio mzuri kwa afya