Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

image_search_1524862600094.jpg
image_search_1524862823096.jpg
image_search_1524863229201.jpg
image_search_1524862904404.jpg
 
nikuoneshe ushahidi kua hio helicopter ni ya russia wewe jibu basi😱😀😀😀😀
umeona hio alama😛😛😛😛 bahat nzuri umekuja kwenye fani yangu usitegemee kutudanganya
ukiskia red army ndio hio sasa
View attachment 758192 View attachment 758193
KAMA HUELEWI KIINGEREZA ACHA NIJARIBU KWA KISWAHILI,
najua kuwa hio ndege ni ya jeshi la Russia. ila sijasema hio ni ya Kenya Air Force. Namaanisha hilo ndege ipo katika fleet ya KAF ila asina picha clear... sijui kama hapo utaelewa ama bado bia zipo kichwani..
im saying we got that aircraft...including a bunch of more i sent
 
SUBUTU 😀😀😀😀😀😀😀 hebu nioneshe unafanya masihara wewe
 
Kenya wapo na F-5 hawana lolote ni wachumba Tanzania tupo na ballistic missile. Zinaweza kupiga Nairobi tokea dodoma.
 
Back
Top Bottom