NEWYORK ya ghorofa tatu, unaota.
Inaitwa Citi hoppa ? 😀😀
Tunaeemanga Dar vitu mnaonyesha ni brt and those three overrated towers. In a day, mnaeza post picha kumi za brt na zingine kumi za zile towers tatu
Picha ya kitambo sana hii, hapo tulishtoka.
Mnasherehekea Apartheid state of Israel
Kumbuka tulipiga kura ya kuwapinga, lakini bado wanakuja kwa wingi na kasi kubwa, ninyi mliojipendekeza, vipi?Mnasherehekea Apartheid state of Israel
Mimi kibinafsi sipendi Israel kwanza jinsi inavyowatesa wapalestina. Hapa sikubaliani na Pres. Uhuru Kenyatta.Kumbuka tulipiga kura ya kuwapinga, lakini bado wanakuja kwa wingi na kasi kubwa, ninyi mliojipendekeza, vipi?
At least tunaonyesha three towers. You only show one tower.😀😀😀 Nairobi is a city of one tower😀😀😳Tunaeemanga Dar vitu mnaonyesha ni brt and those three overrated towers. In a day, mnaeza post picha kumi za brt na zingine kumi za zile towers tatu
Simba
kama vile nairobi umezungukwa na slums😀😀nlidhani Dar ni kama Kampala,harare at first kumbe ni mji umechakaa ,haujapangika kabisa,no roads...huu uzi umetufungua macho