Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3million nairobi population wanaishi kwenye slums
8873-C76986035A9A1B58852573CC005F376C-wfp_CFL_ken080110.png
Ndio maaana unatokea kwa nchi yenye illiteracy level iko high...hiiii ujinga ya kuleta news from sources uchwara huwezi kuona kwa forums zingine...ni hapa tu kwa wajinga reloaded.
 
Ukweli mkipewa hamtaki mnataka kuwa mnasifiwa ujinga😉😉
 
Ndio maaana unatokea kwa nchi yenye illiteracy level iko high...hiiii ujinga ya kuleta news from sources uchwara huwezi kuona kwa forums zingine...ni hapa tu kwa wajinga reloaded.
hahhaha umeumia sana 😀😀😀😀 hupendi ukweli
 
Upper hill iko poa lakini Kwa kupakana na kibera naipa big no!
It will take along time for it to challenge sandton!
Upper Hill haiko karibu na kibera. Ukitaka kujua ukweli ingia Google earth uone vile kibera iko mbali. Just like the name implies, Upper Hill iko on a slightly hilly part of nairobi so mtu akipiga picha kutoka kutoka maeneo ya chili kama kibera lazima atacupture the tall buildings of upperhill. If you looked at that picture carefully, you'll realize that only taller buildings in upper hill are captured in that shot, meaning mpiga picha alikuwa mbali sana na eneo la upper hill. As I said, ingia google earth uone vile kibera iko mbali na upper hill. Najua mnaogopa kuingia google earth lakini ingia tu ujionee
 
@ichoboy1 eti waziri mkuu yuko dodoma ana weka jiwe la msingi la nini vile
 
Upper Hill haiko karibu na kibera. Ukitaka kujua ukweli ingia Google earth uone vile kibera iko mbali. Just like the name implies, Upper Hill iko on a slightly hilly part of nairobi so mtu akipiga picha kutoka kutoka maeneo ya chili kama kibera lazima atacupture the tall buildings of upperhill. If you looked at that picture carefully, you'll realize that only taller buildings in upper hill are captured in that shot, meaning mpiga picha alikuwa mbali sana na eneo la upper hill. As I said, ingia google earth uone vile kibera iko mbali na upper hill. Najua mnaogopa kuingia google earth lakini ingia tu ujionee
Haha notes mob za ujinga
 
Back
Top Bottom