Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio maana nasema aje huku, tutamruhusu kufanya apendavyo.
Acha maneno yako wewe, kuna ruthless police kuzidi polisi ya Kenya hapa Africa?, kuna nchi inayokandamizi haki za binadamu zaidi ya Kenya?, vijana wengi hasa wa Mombasa wameuliwa na wengi kupotezwa na polisi kwa kuchukuliwa toka majumbani mwao na kupotezwa kwa kisingizio cha Alshabab, Magufuli ni kama anafanya mazoezi ya ukandamizaji wa demokrasia, ila ninyi ni kawaida yenu toka independence(Soma kitabu cha NOT YET UHURU)
 
Dar es salaaam.

IMG_1829.JPG
 
nikikuita "msen.ge-nyaji" unakasirika.

but i love how you prefer to talk behind my back.....it's a proof you are afraid of me.
huwa naogopa kuku engage jinsi ulivo teen kiakili jizee kuukuu la 60s😀😀😀umenyoa mvi na cabbage kwenye makwapa lakini?😀😀😀 lakini ni just jokes
 
Tengenezeni wasanii wenu. Tanzania ni nchi tamu sana, hakuna mtanzania yeyote anaweza kuwa na hamu ya kukaa kenya.
umenchekesha bana... watu wenu wamejaa huku kana kwamba wakimbizi toka somalia...wametoroka umaskini na uldc...wegine wanaomba omba jijini Nairobi..wengine wanakamatwa na polisi Meru..sasa hio ndio nchi tamu au? kama kuna nchi tamu ukanda huu ni Kenya...tunalea wakimbizi kuliko nchi yeyeote barani...wanakuja tu toka pande zote
 
Hiyo sio upanga, hapo ni Victoria, nje kabisa ya jiji, wala sio CBD hapo
i stand to be correct mkuu

Pale ni Upanga lile jengo ni Regency Hospital na kwa mbaali Umoja wa vijana kwa nyuma
Kwa chini pale kuna mahabusu ya watoto
Picha imepigwa DIT flan hvii
 
umenchekesha bana... watu wenu wamejaa huku kana kwamba wakimbizi toka somalia...wametoroka umaskini na uldc...wegine wanaomba omba jijini Nairobi..wengine wanakamatwa na polisi Meru..sasa hio ndio nchi tamu au? kama kuna nchi tamu ukanda huu ni Kenya...tunalea wakimbizi kuliko nchi yeyeote barani...wanakuja tu toka pande zote
Kila mtanzania mmoja anyevuka mpaka kuja Kenya, kuna wkenya ishirini wanaovuka mpaka kuja huko, hilo lipo wazi wala huna sababu za kubisha. Watu huwa wanaenda katika nchi yenye opportunities za kazi, yenye usalama na amani, yenye machimbo ya madini, yenye ardhi kubwa ya kilimo, vyote hivyo vinaifanya Tanzania kuwa kimbilio la wakenya na watu kutoka nchi zingine.
 
umenchekesha bana... watu wenu wamejaa huku kana kwamba wakimbizi toka somalia...wametoroka umaskini na uldc...wegine wanaomba omba jijini Nairobi..wengine wanakamatwa na polisi Meru..sasa hio ndio nchi tamu au? kama kuna nchi tamu ukanda huu ni Kenya...tunalea wakimbizi kuliko nchi yeyeote barani...wanakuja tu toka pande zote
Hadi wanaoa wakenya
 
Back
Top Bottom