nilichoona ni msitu hapo😀😀😀😀😀😀Hii picha naipenda sana. East, Central and West Africa best city. NAIROBI world class city.
![]()
Ndio nlisema hapo awali watu wamejaa na utoto sana na usipate wako over 40 years.Huku kuna watoto kumbe
That's Kiambu County which is part of Nairobi metro. One can clearly see the lush coffeee and tea plantations against the backdrop of the imposing skyscrapersNdio nlisema hapo awali watu wamejaa na utoto sana na usipate wako over 40 years.
Hahahahahahahahahahahahahahahahanlidhani Dar ni kama Kampala,harare at first kumbe ni mji umechakaa ,haujapangika kabisa,no roads...huu uzi umetufungua macho
the only swag there is range rover autobiography other shits are just shits![]()
![]()
![]()
![]()
definitley... kenya's got swag
Haya maswala ya Ku discuss peoples personalities ni ujinga zaidi ya ujinga wenyewe, kama unashindwa kudiscuss na MTU si unapita wima kwenye comments zakekuna watoto wawili hapa maarufu..they are actually ppl over the age of 45 but with teenage behaviors and tendencies..wanajijua...mmoja ako almost 60🙁🙁🙁🙁mwingine is always joking..he will always quote you even if you post a blank comment or one with a period only, he will quote you
utoto lazima we point out and we will do it again and again upende usipende...hapa sisi sio teenagers...watu wa grow up..tubishane kistaarabu..tudiscuss mambo ya msingi...sio ujinga wa teenagers wanaoanza kubaleheHaya maswala ya Ku discuss peoples personalities ni ujinga zaidi ya ujinga wenyewe, kama unashindwa kudiscuss na MTU si unapita wima kwenye comments zake
Hahahahahahaha, a failed state without food, the country is broke, nor water, nor employment, tribalism, corruption, insecurity........i think Kenyans w are trying to hard and disrespecting our country in the process...Nairobi or Kenya shouldn't be compared to useless shitty countries like tz...let the somalians, Ugandans do this...but not us bana..tunajishusha hadhi
Haya ,ninyi wenyewe huwa mnaanzisha hizi mambo za Ku discuss watu ,halafu yakiwafika kooni mnaomba radhi!mfano hai ni yule engineer wenu aka mchicha mW*b*utoto lazima we point out and we will doi ut again and again upende usipende...hapa sisi sio teenagers...watu wa grow up..tubishane kistaarabu..
Haya ,ninyi wenyewe huwa mnaanzisha hizi mambo za Ku discuss watu ,halafu yakiwafika kooni mnaomba radhi!mfano hai ni yule engineer wenu aka mchicha mW*b*
na basi kama ni ukweli mmkosoe...kuna jamaa anaitwa Ndinda...huyo jamaa ni very mature...huwa anaangusha picha zake hapa na kutoweka..hutamwona anafanya utoto hapa hata siku moja...huu uzi ungekuwa unasomwa na watu wa nje bila shaka tungejiabisha sana aiseeHaya ,ninyi wenyewe huwa mnaanzisha hizi mambo za Ku discuss watu ,halafu yakiwafika kooni mnaomba radhi!mfano hai ni yule engineer wenu aka mchicha mW*b*
No roads ! 😀😀😀 Show me you BRT pleasenlidhani Dar ni kama Kampala,harare at first kumbe ni mji umechakaa ,haujapangika kabisa,no roads...huu uzi umetufungua macho
We mwenyewe unaweza fanya hivyo tupia picha halafu unaamsha popo,ukitaka kuwapangia watu vya kuposti utazingua sanana basi kama ni ukweli mmkosoe...kuna jamaa anaitwa Ndinda...huyo jamaa ni very mature...huwa anaangusha picha zake hapa na kutoweka..hutamwona anafanya utoto hapa hata siku moja...huu uzi ungekuwa unasomwa na watu wa nje bila shaka tungejiabisha sana aisee
No roads in Dar ! 😀😀nlidhani Dar ni kama Kampala,harare at first kumbe ni mji umechakaa ,haujapangika kabisa,no roads...huu uzi umetufungua macho