Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kinondoni Dar
IMG_20180410_204944.jpg
 
Man,
mbona hawa wasee hujenga vitu zinafanana zote tena disorganized+poor roads

Uchafu😡😡😡😡😀😀😀😀😀😀😱😀😀😱😱😱


I think hawana creative architects, unajua TZ sio competitive kama Kenya.

Nyie washago msiojuwa photogrammetry... taswira hiyo ya picha ya Dar inaonekana hivyo kwasababu ya 'complexity'.

Kamera za wakati huu hazina uwezo wa kuchukua 'much detail information' ya pixels zote za picha ambazo zinaweza kuwa na ukubwa wa nth factorial.

Kwasababu ya uwezo huo mdogo wa kamera taarifa nyingi za taswira (pixels) huachwa na unachoambulia ni gibberish data, kwa ushamba 'wenyu' mnaita disorganized.

GettyImages-500759045_super.jpg


Hapo juu ni Paris, sasa mlivyo wehu mtasema nyuma upande wa kulia mwa picha kuna slums kwasababu picha haitoi much detail.
 
08EA6352-CB96-4D7C-8630-2BC79F30F368.jpeg
38CDD597-6BB8-4904-A8AD-BA6A1D254E80.jpeg
B83B3006-55F7-4CCC-BF96-08EDDFC4733F.jpeg
avic residentials ambayo sasa inaitwa Nairobi Global Trade Centre topped out...sasa ni hotel na office towers 176m, 141m..tallest in East Africa ukitoa Britam ambayo ina mlingoti mrefu kana kwamba eiifel tower
39513768510_65f8019d4d_o.jpg

40581591345_f9c8799c25_b.jpg
30709255_906240459545916_8792092122101684958_n.jpg
30726932_906240492879246_4629454365302133341_n.jpg
26606764567_c694cf3433_b.jpg
26603916327_8a53bec344_b.jpg
20180411_222530.jpg
Basi sawa! But have you heard of this? Thats called THE NNOBLE and its already under construction
 
Back
Top Bottom