Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta evidence hi ghorofa ni 20flrs kazi yako no kutoa data kutoka kwa Makalio wako😀😀😛😛😛😛😛😛😀😀😀😀😀
*****😀😀😀😀😀 dar itakuweni
5E18218B-1926-405D-BB59-D8967CE95EE6.jpeg
 
I think hawana creative architects, unajua TZ sio competitive kama Kenya.
uhahah kwa vile kenya munao creative nafkiri worse slums in the world zisingekuwepo nairobi😀😀😀😀 ushuzi mtupu
 
China, India, Philippines all have slums so hakuna kitu unaniambia, Kalisha haga chini uone slum upgrade. By the time maskini tanzania munamaliza kulive in denial ety hamna slums tutakua mbali sana.
 
sasa usiseme kenya kuna creative bora ukae kimya tu😀😀😀😀😀 ingia google earth ukikuta dar kuna slum nitag am waiting😛😛😛😛
 
Kama choo hamna sasa unatuma nani google earth aangalie mansion za mabati.
 
icho naona huwapi wakenya nafasi ya kupumua,unawanyorosha 24/7.

safi sana bro... wanyoroshe hawa mburukenge mpaka wajutie uwepo wa hii thread.
 
Back
Top Bottom