stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,746
- 27,218
Mabanda ya kukuKama hiyo ni godown basi hili ni banda la nguruwe. Uhuru hana huruma na Kenya. Is this terminal at Jomo Kenyatta International Airport ?? Funny thing inapokea international Arrivals.View attachment 749643 View attachment 749640
wachaneNyie washago msiojuwa photogrammetry... taswira hiyo ya picha ya Dar inaonekana hivyo kwasababu ya 'complexity'.
Kamera za wakati huu hazina uwezo wa kuchukua 'much detail information' ya pixels zote za picha ambazo zinaweza kuwa na ukubwa wa nth factorial.
Kwasababu ya uwezo huo mdogo wa kamera taarifa nyingi za taswira (pixels) huachwa na unachoambulia ni gibberish data, kwa ushamba 'wenyu' mnaita disorganized.
![]()
Hapo juu ni Paris, sasa mlivyo wehu mtasema nyuma upande wa kulia mwa picha kuna slums kwasababu picha haitoi much detail.
Hiyo tent unaweza sifia.?? Mwizi akija na wembe anaweza iba kilakitu. Turubali kweli ?? Hilo hata nguruwe awezi ishi. Tutawakuta wote nje. Miguna Miguna aliitaji kuwa na wembe tu kutoloka kwenye hiyo terminal.Sasa hili nahilo lenyu "mordern and biggest in eastafrica"tofauti iko wapi ispokuwa sisi hatusifii letu?
Hilo lenu ni containers zime onganishwa, ya Dar ni concrete structureSasa hili nahilo lenyu "mordern and biggest in eastafrica"tofauti iko wapi ispokuwa sisi hatusifii letu?
Azam ni tv ya mtanzania so sijui unaongelea nini wewe zuzu
Azam ni tv ya mtanzania so sijui unaongelea nini wewe zuzu


.usichoelewa nn au kiswahili kigumu sana😀😀Azam ni tv ya mtanzania so sijui unaongelea nini wewe zuzu
maisha yao hawa ukiwaona nje huwez kudhania sehemu wanazoishi😀😀😀 yani wananuka umaskini muda woteaisee wakati naangalia harusi ya alikiba,nimeona mitaa ya mombasa,kule ameenda kuchukua mkewe.
my friend sikupenda kucheka,but it really pain ni kubovu.kuchafu.embu shemeji yetu aje aishi uzunguni huku ajaze shavu.